Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

Kuna kitu kinaitwa kazi na dawa, bata batani!. Utafiti umethibitisha ukiwapa watu raha, matamasha, kula bata batani, ku enjoy life, watu wenye raha na furaha wanazalisha zaidi kuliko watu wenye huzuni, shida na matatizo lukuki. Mungu alimuumba binadamu ili apate raha.
P
Ingekuwa hivyo tungewazidi North korea.
 
Siyo kila tamasha serikali hugharamia, mengine ni wadhamini na wadau kupitia serikali...
Hao wadhami wenyewe ni entities za serikali, wanachodhamini kiende kwa wananchi kusukuma maendeleo na kupunguza umaskini
 
Haha , Kwahiyo Kaka unataka waandaaji wa matamasha , warsha wapate wapi pesa?? Huko pia Kuna ajira kibao boss
 
Back
Top Bottom