Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

Ingekuwa hivyo tungewazidi North korea.
 
Siyo kila tamasha serikali hugharamia, mengine ni wadhamini na wadau kupitia serikali...
Hao wadhami wenyewe ni entities za serikali, wanachodhamini kiende kwa wananchi kusukuma maendeleo na kupunguza umaskini
 
Haha , Kwahiyo Kaka unataka waandaaji wa matamasha , warsha wapate wapi pesa?? Huko pia Kuna ajira kibao boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…