Viongozi wa TFF hawajui sheria za Mpira na sheria at all the same Kwa Watanzania wote

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani.

Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over...

Mjue Nini Mimi nimesoma sheria na Kuna Mwalimu wakat ananifundisha Criminal aliwahi sema, kusema umefanyiwa hivi hakukupi nafasi ya Moja Kwa Moja kushinda kesi..just prove mbele ya Mahakama kua unachosema ni right.

Kuna watu wamebakwa na wameshindwa kesi kisa kushindwa ku prove Tena hua tunaambiwa beyond reasonable doubt Kuna watu wametiwa hatiani kwenye Makosa ya mauaji na wameshinda kesi kisa upande mmoja ulishindwa ku prove evidence zake.

So msiishie kusema kulikua na hiki na hiki just fanyeni kudhibitisha..hili swala ni la kisheria msitake kulitatua Kwa kutumia Elimu ya VETA na Degree zenu za Sociology.

Na tunakataa hoja zenu za kusema tu kitu kua kulikua na element za Uvunjifu wa Amani au kulikua na element za Rushwa halaf muache ku prove Kwa sababu ipo siku mtu atakimbia Tena Match akaleta hizo hoja Nate hatuta mbana coz atapita kwenye hii precedent mliyoset saiv.

Usiku Mwema.
 
Sasa wamthibitidhie nani wakati wao ndio uthibitisho? Kwa ufupi, sisi tukibishana tunatakiwa kuona TFF wanasemaje, maana wao ndio ukweli. Hapo ni sawa na kumwambia daktari athibitishe kuwa unaumwa
 
Kule cas utatakiwa uwe na uthibitisho usio na shaka sio blah blah za vijiweni,,wao awawezi kufanyia kazi habari za kufikirika ambazo hazina msingi wowote kikanuni na kisheria,,unaposema kilikuwa na viashiria vya rushwa Ina maana Takukuru ndio Wenye mamlaka ya kuchunguza rushwa na kuibaini sio bodi ya ligi Wala tff!
 
CAS ikipelekewa kesi huwa inakiuliza chama cha soka kiliiamuaje. Kwa ufupi kesi itaishia hapo
 
Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani.

Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over...

Mjue Nini Mimi nimesoma sheria na Kuna Mwalimu wakat ananifundisha Criminal aliwahi sema, kusema umefanyiwa hivi hakukupi nafasi ya Moja Kwa Moja kushinda kesi..just prove mbele ya Mahakama kua unachosema ni right.

Kuna watu wamebakwa na wameshindwa kesi kisa kushindwa ku prove Tena hua tunaambiwa beyond reasonable doubt Kuna watu wametiwa hatiani kwenye Makosa ya mauaji na wameshinda kesi kisa upande mmoja ulishindwa ku prove evidence zake.

So msiishie kusema kulikua na hiki na hiki just fanyeni kudhibitisha..hili swala ni la kisheria msitake kulitatua Kwa kutumia Elimu ya VETA na Degree zenu za Sociology.

Na tunakataa hoja zenu za kusema tu kitu kua kulikua na element za Uvunjifu wa Amani au kulikua na element za Rushwa halaf muache ku prove Kwa sababu ipo siku mtu atakimbia Tena Match akaleta hizo hoja Nate hatuta mbana coz atapita kwenye hii precedent mliyoset saiv.

Usiku Mwema.
uthibitishiwe wewe kama nani..
sikiliza mamlaka wew nyuma mwiko
 
Kwamba wale mazoba wa Yanga ndio wanajua Sheria za Mpira. Wali practice wapi kwa ufanisi..can't be serious dude
 
We unaejua ni mkenya sio? Maana ili ujue kama hawajui inapaswa wewe ujue.

Sasa kwakua umesema wa TZ wote Ndio nakuuliza wewe mkenya?
Kama mTz umejuaje kama hawajui maana wewe pia hujui.
 
Umeamua kukimbia Mada.

Oky just simple tu Mama angu Mnyarwanda Na Baba angu ni Mtanzania.

Nichagulie Uraia basi.
 
And yourself too unless uniambie wew ni mmalawi
Oky mi wazazi wangu sio Taifa moja kama wewe.

Na hizi akili hawez kua nazo mtu kama wewe uliezaliwa na wazazi watanzania wote.

so I think and think again.
 
Kumbe matahaira ni wengi humu ndani,,Yani cas iulize tu mmeamuaje basi kesi imeisha? Kama ingekuwa ivyo ata Etoo asingeshinda rufaa yake kule cas kwa akili zako hizo!
Watu wanazungumzia CAS wanahisi kama Kamati za juu za vyama vyao😂😂

Eti sema mliamuaje then over😂😂
 
Back
Top Bottom