Viongozi wa TFF hawajui sheria za Mpira na sheria at all the same Kwa Watanzania wote

Viongozi wa TFF hawajui sheria za Mpira na sheria at all the same Kwa Watanzania wote

Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani.

Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over...

Mjue Nini Mimi nimesoma sheria na Kuna Mwalimu wakat ananifundisha Criminal aliwahi sema, kusema umefanyiwa hivi hakukupi nafasi ya Moja Kwa Moja kushinda kesi..just prove mbele ya Mahakama kua unachosema ni right.

Kuna watu wamebakwa na wameshindwa kesi kisa kushindwa ku prove Tena hua tunaambiwa beyond reasonable doubt Kuna watu wametiwa hatiani kwenye Makosa ya mauaji na wameshinda kesi kisa upande mmoja ulishindwa ku prove evidence zake.

So msiishie kusema kulikua na hiki na hiki just fanyeni kudhibitisha..hili swala ni la kisheria msitake kulitatua Kwa kutumia Elimu ya VETA na Degree zenu za Sociology.

Na tunakataa hoja zenu za kusema tu kitu kua kulikua na element za Uvunjifu wa Amani au kulikua na element za Rushwa halaf muache ku prove Kwa sababu ipo siku mtu atakimbia Tena Match akaleta hizo hoja Nate hatuta mbana coz atapita kwenye hii precedent mliyoset saiv.

Usiku Mwema.
Hizo sababu zao zote ni za kitoto. Na huu ndiyo ukweli mchungu kwao
 
Oky mi wazazi wangu sio Taifa moja kama wewe.


Na hizi akili hawez kua nazo mtu kama wewe uliezaliwa na wazazi watanzania wote.

so I think and think again.
Sasa kama sio mtanzania unajadili nini mambo yasiyo kuhusu si uwaachie wenye nchi yao na mambo yao
 
Back
Top Bottom