THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Sijasema Team hapa nimesema TFF na Watanzania wote so it includes you and your family too.Kwahiyo viongozi wa Yanga ndio wanajua sheria?
Sasa wamthibitidhie nani wakati wao ndio uthibitisho? Kwa ufupi, sisi tukibishana tunatakiwa kuona TFF wanasemaje, maana wao ndio ukweli. Hapo ni sawa na kumwambia daktari athibitishe kuwa unaumwaWatu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani.
Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over...
Kule cas utatakiwa uwe na uthibitisho usio na shaka sio blah blah za vijiweni,,wao awawezi kufanyia kazi habari za kufikirika ambazo hazina msingi wowote kikanuni na kisheria,,unaposema kilikuwa na viashiria vya rushwa Ina maana Takukuru ndio Wenye mamlaka ya kuchunguza rushwa na kuibaini sio bodi ya ligi Wala tff!Sasa wamthibitidhie nani wakati wao ndio uthibitisho? Kwa ufupi, sisi tukibishana tunatakiwa kuona TFF wanasemaje, maana wao ndio ukweli. Hapo ni sawa na kumwambia daktari athibitishe kuwa unaumwa
CAS ikipelekewa kesi huwa inakiuliza chama cha soka kiliiamuaje. Kwa ufupi kesi itaishia hapoKule cas utatakiwa uwe na uthibitisho usio na shaka sio blah blah za vijiweni,,wao awawezi kufanyia kazi habari za kufikirika ambazo hazina msingi wowote kikanuni na kisheria,,unaposema kilikuwa na viashiria vya rushwa Ina maana Takukuru ndio Wenye mamlaka ya kuchunguza rushwa na kuibaini sio bodi ya ligi Wala tff!
Kumbe matahaira ni wengi humu ndani,,Yani cas iulize tu mmeamuaje basi kesi imeisha? Kama ingekuwa ivyo ata Etoo asingeshinda rufaa yake kule cas kwa akili zako hizo!CAS ikipelekewa kesi huwa inakiuliza chama cha soka kiliiamuaje. Kwa ufupi kesi itaishia hapo
uthibitishiwe wewe kama nani..Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani.
Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over...
Mjue Nini Mimi nimesoma sheria na Kuna Mwalimu wakat ananifundisha Criminal aliwahi sema, kusema umefanyiwa hivi hakukupi nafasi ya Moja Kwa Moja kushinda kesi..just prove mbele ya Mahakama kua unachosema ni right.
Kuna watu wamebakwa na wameshindwa kesi kisa kushindwa ku prove Tena hua tunaambiwa beyond reasonable doubt Kuna watu wametiwa hatiani kwenye Makosa ya mauaji na wameshinda kesi kisa upande mmoja ulishindwa ku prove evidence zake.
So msiishie kusema kulikua na hiki na hiki just fanyeni kudhibitisha..hili swala ni la kisheria msitake kulitatua Kwa kutumia Elimu ya VETA na Degree zenu za Sociology.
Na tunakataa hoja zenu za kusema tu kitu kua kulikua na element za Uvunjifu wa Amani au kulikua na element za Rushwa halaf muache ku prove Kwa sababu ipo siku mtu atakimbia Tena Match akaleta hizo hoja Nate hatuta mbana coz atapita kwenye hii precedent mliyoset saiv.
Usiku Mwema.
And yourself too unless uniambie wew ni mmalawiSijasema Team hapa nimesema TFF na Watanzania wote so it includes you and your family too.
Kwamba wale mazoba wa Yanga ndio wanajua Sheria za Mpira. Wali practice wapi kwa ufanisi..can't be serious dudeWatu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani.
Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over...
Mjue Nini Mimi nimesoma sheria na Kuna Mwalimu wakat ananifundisha Criminal aliwahi sema, kusema umefanyiwa hivi hakukupi nafasi ya Moja Kwa Moja kushinda kesi..just prove mbele ya Mahakama kua unachosema ni right.
Kuna watu wamebakwa na wameshindwa kesi kisa kushindwa ku prove Tena hua tunaambiwa beyond reasonable doubt Kuna watu wametiwa hatiani kwenye Makosa ya mauaji na wameshinda kesi kisa upande mmoja ulishindwa ku prove evidence zake.
So msiishie kusema kulikua na hiki na hiki just fanyeni kudhibitisha..hili swala ni la kisheria msitake kulitatua Kwa kutumia Elimu ya VETA na Degree zenu za Sociology.
Na tunakataa hoja zenu za kusema tu kitu kua kulikua na element za Uvunjifu wa Amani au kulikua na element za Rushwa halaf muache ku prove Kwa sababu ipo siku mtu atakimbia Tena Match akaleta hizo hoja Nate hatuta mbana coz atapita kwenye hii precedent mliyoset saiv.
Usiku Mwema.
Ulishawahi kwenda?CAS ikipelekewa kesi huwa inakiuliza chama cha soka kiliiamuaje. Kwa ufupi kesi itaishia hapo
Umeamua kukimbia Mada.We unaejua ni mkenya sio? Maana ili ujue kama hawajui inapaswa wewe ujue.
Sasa kwakua umesema wa TZ wote Ndio nakuuliza wewe mkenya?
Kama mTz umejuaje kama hawajui maana wewe pia hujui.
Oky mi wazazi wangu sio Taifa moja kama wewe.And yourself too unless uniambie wew ni mmalawi
Watu wanazungumzia CAS wanahisi kama Kamati za juu za vyama vyao😂😂Kumbe matahaira ni wengi humu ndani,,Yani cas iulize tu mmeamuaje basi kesi imeisha? Kama ingekuwa ivyo ata Etoo asingeshinda rufaa yake kule cas kwa akili zako hizo!