Nilishangaa walipomuomba rais mwanamke awasaidie kutatua wakati dini yao haitambu uongozi wa mwanamke
Sio kweli, ukweli ni kuwa Wanawake wamepewa kipa umbele katika uislamu
1. Wa kwanza kuwa Muislam na kutambua utume na unabii wa Mtume Muhammad ni mwanamke,Bi khadija,na miongozo mingi,Mtume Muhammad,aliupata kutoka kwa bi Hadija, na pia Mtume Muhammad ,alifanya biashara chini ya uongozi wa Bi Khadija.Na alikuwa ni mkewe.
2. Mwanamke wa pili aliyepokea Uongozi(hadithi,tradition)za mtume Muhamaad ni Bi Aisha,na mpaka leo mafunzo ya Mtume Muhammad, kupitia huyu Bi Aisha, hadithi (tradition), yanafuatwa.
3. Bi Maryam, Mama wa Nabii Issa ni mwanamke, na kuna chapter nzima,ndani ya Qur'an ina jina lake.
4. Bi Asia, aliyekuwa mke wa Firauni, mwanamke aliyekataa kumfuata Firauni, amepewa kipa umbele katika uislamù
5. Na wanawake wengine wengi, wapo.