Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa ni mkorofi sana ujue. Sijui huko nyumbani unaishi vipi na shemeji yetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Matatizo yote yatamalizwa iwapo WaIslam watakubali kuongozwa na Askofu Mkuu toka Catholic au Lutheran.
Jambo hili wala haliweza kuathiri Iman,bali kuongeza ufanisi na maadili ktk utendaji kazi.
Najua wapo watakaoshangaa na kuhoji uwezekano wa kuongozwa na Mgalatia lakini leo hii UK inaongozwa na Waziri Mkuu from India !.