FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nimekuuliza, wewe ni Muislam?unaitenga vipi BAKWATA na dini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuuliza, wewe ni Muislam?unaitenga vipi BAKWATA na dini?
Usichanganye Uislam na taasisi iliyoanzishwa na serikali.Huwa mnatuaminishaga kuwa waislamu ni watu wasafi kimaadili
Mke alishaondoka Mme kutoa talaka hataki na kashasema hatoi ng'oooHapo ndo mtihani unapoanza Kama hataki toa talaka.
Mnakaa nyumba moja?
Apo ni sawaMme hataki kutoa talaka!!!!!na Kuna mazingira kidini talaka inaswihi kabisaaa!!ndo maana tukaenda bakwata
Unadanganya kwa kutumia uongo mtakatifu takiyaSio kweli, ukweli ni kuwa Wanawake wamepewa kipa umbele katika uislamu
1. Wa kwanza kuwa Muislam na kutambua utume na unabii wa Mtume Muhammad ni mwanamke,Bi khadija,na miongozo mingi,Mtume Muhammad,aliupata kutoka kwa bi Hadija, na pia Mtume Muhammad ,alifanya biashara chini ya uongozi wa Bi Khadija.Na alikuwa ni mkewe.
2. Mwanamke wa pili aliyepokea Uongozi(hadithi,tradition)za mtume Muhamaad ni Bi Aisha,na mpaka leo mafunzo ya Mtume Muhammad, kupitia huyu Bi Aisha, hadithi (tradition), yanafuatwa.
3. Bi Maryam, Mama wa Nabii Issa ni mwanamke, na kuna chapter nzima,ndani ya Qur'an ina jina lake.
4. Bi Asia, aliyekuwa mke wa Firauni, mwanamke aliyekataa kumfuata Firauni, amepewa kipa umbele katika uislamù
5. Na wanawake wengine wengi, wapo.
Atakuwa Yanga. Anapenda sana Kijani na NjanoMufti ni Yanga au Simba? Walio karibu nae watakuja kutujuza.
Hongera zake.Atakuwa Yanga. Anapenda sana Kijani na Njano
Unadanganya kwa kutumia uongo mtakatifu takiya
Ao uliowataja Muhammad kasema peponi watakuwa wake zake , mpaka mama wa Isa pedophile kadai atakuwa mke wake
Tukija kwa wanawake
Kadai mwanamke ni nusu ya akili ya mwanaume
Kadai mbwaweusi na Punda na mwanamke wakipita sala haikubaliki
Kadai wanawake wataenda motoni
Mkuu Ex SpyMufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge.
Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA.
Kiuhalisia ukiangalia mifumo ya Bakwata japokuwa ni ya kizamani na haiendani na hali ilivyo sasa katika jamii ya waislamu lakini kama ingekuwa pia inafuatwa ipasavyo ingeweza kwa kiasi fulani kuleta mabadiliko mazuri ndani ya Bakwata.
Bakwata imekuwa inaendeshwa kwa matukio (Baraza la Eid, Msimu wa Hijja, Maulidi n.k), ili fedha zikusamywe kwa matumizi ya tukio,lakini zinaishia mifukoni mwa wachache.
MATATIZO YA BAKWATA
Tatizo kubwa la Bakwata, ni uongozi dhaifu wa Sheikh Abubakar Zubeir-Mufti wa Tanzania na Sheikh Mkuu.Amepoteza mwelekeo,na kujikuta yupo nje ya Madhumuni halisi ya Bakwata.
Viongozi waandamiziwa wa Bakwata kama vile Katibu Mkuu,Mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Bakwata Taifa,Mhasibu Mkuu,Mkurugenzi wa Hija, Mkurugenzi wa Elimu,na kadhalika; wanaujua vizuri udhaifu wa Mufti Abubakar Zubeir Kwani wamekuwa wakitumika kwa Mufti kumtafutia au kumkusanyia hela toka wa wafadhili mbalimbali. Pia wanajua jinsi ya kumfikisha Mufti Abubakar Zubeir afanye jambo lao.
Mambo haya, yamepelekea Tume kujiuzulu:
View attachment 2605185
View attachment 2605820
View attachment 2605190
Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge.
Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA.
Kiuhalisia ukiangalia mifumo ya Bakwata japokuwa ni ya kizamani na haiendani na hali ilivyo sasa katika jamii ya waislamu lakini kama ingekuwa pia inafuatwa ipasavyo ingeweza kwa kiasi fulani kuleta mabadiliko mazuri ndani ya Bakwata.
Bakwata imekuwa inaendeshwa kwa matukio (Baraza la Eid, Msimu wa Hijja, Maulidi n.k), ili fedha zikusamywe kwa matumizi ya tukio,lakini zinaishia mifukoni mwa wachache.
MATATIZO YA BAKWATA
Tatizo kubwa la Bakwata, ni uongozi dhaifu wa Sheikh Abubakar Zubeir-Mufti wa Tanzania na Sheikh Mkuu.Amepoteza mwelekeo,na kujikuta yupo nje ya Madhumuni halisi ya Bakwata.
Viongozi waandamiziwa wa Bakwata kama vile Katibu Mkuu,Mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Bakwata Taifa,Mhasibu Mkuu,Mkurugenzi wa Hija, Mkurugenzi wa Elimu,na kadhalika; wanaujua vizuri udhaifu wa Mufti Abubakar Zubeir Kwani wamekuwa wakitumika kwa Mufti kumtafutia au kumkusanyia hela toka wa wafadhili mbalimbali. Pia wanajua jinsi ya kumfikisha Mufti Abubakar Zubeir afanye jambo lao.
Mambo haya, yamepelekea Tume kujiuzulu:
View attachment 2605185
View attachment 2605820
View attachment 2605190
Mbona tz tangu tupate uhuru wakiristo ndio viongozi hata hiyo bakwata inaongozwa na wakirisito sababu ndio walio iasisiMatatizo yote yatamalizwa iwapo WaIslam watakubali kuongozwa na Askofu Mkuu toka Catholic au Lutheran.
Jambo hili wala haliweza kuathiri Iman,bali kuongeza ufanisi na maadili ktk utendaji kazi.
Najua wapo watakaoshangaa na kuhoji uwezekano wa kuongozwa na Mgalatia lakini leo hii UK inaongozwa na Waziri Mkuu from India !.
Mimi nina uwezo wa kuongoza mkuuInteresting Kwa ufupi Sisi watu weusi hatuna kabisa uwezo wa kujiongoza.
Hata hayo makanisa ni sababu Yana wazungu wako juu wanatoa maelekezo...
Umewahi ongoza Taasisi ipi?Mimi nina uwezo wa kuongoza mkuu