Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

Umewahi ongoza Taasisi ipi?
Thanks
Sikutajii taasisi niliyowahi kuongoza kwa sababu sireveal my clue mkuu.

Uongozi siyo kitu ambacho kila mtu anaweza. Wengi wanaongozwa na njaa ili wapate uongozi.

Hekima
Busara
Subira
Huruma
Misimamo thabiti
Uvumilivu
Maono
Say more...

Heshima ya kiongozi siyo kwa nafasi aliyonayo bali kwa matokeo ya uongozi wake.

Afrika tumejaliwa tamaa na ubinafsi ndo maana mambo ya msingi ni kama kuwachokoza viongozi
 
Wameohopa kurongwa,mana waislamu kwa kuroga na kutupiana majini ndio kazi yao,nashauri bakwata iendelee kujikita zaidi kwenye kuuza vyeti vya ndoa na talaka,mana ndio kazi wanayoiweza vyema.
Umesema waisilamu kuwa ni wachawi hebu tupe na ulozi uliomo.makanisani kwenu kama usema kweli
 
Si kweli kuwa Uislam hautambui uongozi wa mwanamke.

Uislam ulikuja kumweka huru mwanamke.

Usikae unadanganya watu kwa "ignorance" na "phobia" ulizojazwa.
Hacha porojo wewe kuficha imani yako,mwanamke wa kiisilamu ni haramu kuwatawala wanaume huo ndio ukweli wa dini yenyewe nyiyi ndio mnao ogopa kuitwa waisilamu
 
Sio kweli, ukweli ni kuwa Wanawake wamepewa kipa umbele katika uislamu

1. Wa kwanza kuwa Muislam na kutambua utume na unabii wa Mtume Muhammad ni mwanamke,Bi khadija,na miongozo mingi,Mtume Muhammad,aliupata kutoka kwa bi Hadija, na pia Mtume Muhammad ,alifanya biashara chini ya uongozi wa Bi Khadija.Na alikuwa ni mkewe.

2. Mwanamke wa pili aliyepokea Uongozi(hadithi,tradition)za mtume Muhamaad ni Bi Aisha,na mpaka leo mafunzo ya Mtume Muhammad, kupitia huyu Bi Aisha, hadithi (tradition), yanafuatwa.

3. Bi Maryam, Mama wa Nabii Issa ni mwanamke, na kuna chapter nzima,ndani ya Qur'an ina jina lake.

4. Bi Asia, aliyekuwa mke wa Firauni, mwanamke aliyekataa kumfuata Firauni, amepewa kipa umbele katika uislamù

5. Na wanawake wengine wengi, wapo.
Hoja zako haziendani na mada,kuwe muelewa ni haramu kwa mwanamke wa kiisilamu kuwaongoza kuwatawala wanaume kitendo cha mwanamke kukubali kuwa juu ya wanawake ni kukana uisilamu fahamu ndugu hacha kupindisha maandiko hao ulio wataja hakuna hata 1 alie wai kuwa kiongozi juu ya wanaume
 
Sio kweli, kuna mistari na hadithi zinaelezea hilo tena vema kabisa na wapo sahihi.

Hata kwenye familia wewe muachie mkeo afanye maamuzi ya mwisho uone hiyo ndoa kama mtatoboa hata miaka 10 bila kusambaratika kuanzia baba na mama hadi watoto.
Akili yako nyingi sana[emoji3581]
 
Tofauti ya BWAKA na jumuiya za Kikristo ni kuwa Bakwata hudhani kuwa wao ni sehemu ya serikali. Wakiibiana wanakimbilia kuomba serikali isaidie. Wakristo wakiibiana wanachapata makofi hata kuvutana tai wao wenyewe mpaka wanaamua kukimbilia mahakamani kutafuta utatuzi kisheria.

serikali haina dini
Bakwata uwezi itenganisha na kanisa na ccm ni kitu 1 utaki basi
 
Siyo kweli kabisa haya unayosema. Kwanza hiyo elimu unayosema ni ya wote siyo ya kujinasibu kwa wakristo tu. Hebu soma historia uone asili ya taaluma mbali mbali ndiyo utaelewa vizuri tu.

Wacha kueneza uongo na uzushi eti elimu dunia ni haramu katika uislamu. Na uwache kukariri mambo unayoambiwa huko kwenye taasisi yako ya dini bila uthibitisho.
Kinacho pingwa na waisilamu ingawa hawana lakufanya ni kuchukua wanawake na wanaume kusoma mchanganyiko darasa 1 na kijana wa kiume kuwasomesha wa kike hali yakuwa wate hao wameisha ota nywele za chini lakini alimu ya mazingira ni halali kabisa
 
Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge.

Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA.

Kiuhalisia ukiangalia mifumo ya Bakwata japokuwa ni ya kizamani na haiendani na hali ilivyo sasa katika jamii ya waislamu lakini kama ingekuwa pia inafuatwa ipasavyo ingeweza kwa kiasi fulani kuleta mabadiliko mazuri ndani ya Bakwata.

Bakwata imekuwa inaendeshwa kwa matukio (Baraza la Eid, Msimu wa Hijja, Maulidi n.k), ili fedha zikusamywe kwa matumizi ya tukio,lakini zinaishia mifukoni mwa wachache.

MATATIZO YA BAKWATA

Tatizo kubwa la Bakwata, ni uongozi dhaifu wa Sheikh Abubakar Zubeir-Mufti wa Tanzania na Sheikh Mkuu.Amepoteza mwelekeo,na kujikuta yupo nje ya Madhumuni halisi ya Bakwata.

Viongozi waandamiziwa wa Bakwata kama vile Katibu Mkuu,Mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Bakwata Taifa,Mhasibu Mkuu,Mkurugenzi wa Hija, Mkurugenzi wa Elimu,na kadhalika; wanaujua vizuri udhaifu wa Mufti Abubakar Zubeir Kwani wamekuwa wakitumika kwa Mufti kumtafutia au kumkusanyia hela toka wa wafadhili mbalimbali. Pia wanajua jinsi ya kumfikisha Mufti Abubakar Zubeir afanye jambo lao.

Mambo haya, yamepelekea Tume kujiuzulu:


View attachment 2605185
View attachment 2605820
View attachment 2605190
mnataka mambo ya saisa kali kama nigeria {boko harama },,,,,,,,tanzania intelejinsia ye2 ipo juu sana,,ndo manake mnaona BAKWATA imechomekewa IGP msaatu SAIMON SIRRO kuwa mshauri wao,,,,,,,,,hamtoboi....mambo ya mauaji ya kibiti hayana nafasi tena,,,,,,,,
 
Nimeangalia mpangilio na hand writing ya hiyo barua ya kujiuzulu nikajiuliza kimoyomoyo huyo ndio alikuwa mwenyekiti wa kuleta maboresho?
 
Taasisi nyingi za kiislamu ni uozo tu, hakuna proffesionalism, mambo yanaenda kimazoea tu, undugu na uswahiba

Pia watu wengi wameingia kwenye dini kwa maslahi yao binafsi

Nimefanya kazi taasisi moja ya kiislamu, sitamani kufanya kazi tena katika taasisi hizi

Mtu mwenye akili timamu ni ngumu sana kuendelea kufanya kazi katika taasisi hizi
 
Si kweli kuwa Uislam hautambui uongozi wa mwanamke.

Uislam ulikuja kumweka huru mwanamke.

Usikae unadanganya watu kwa "ignorance" na "phobia" ulizojazwa.
uhuru gani? uliwahi kumwona hata mmbunge mwanamke nchi za kiarabu ambazo ndizo mnaziabudu na hata mkizikwa mnaelekezea kichwa huko?
 
uhuru gani? uliwahi kumwona hata mmbunge mwanamke nchi za kiarabu ambazo ndizo mnaziabudu na hata mkizikwa mnaelekezea kichwa huko?
Wewe unaongelea Waarabu au unaongelea Uislam?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Wewe unaongelea Waarabu au unaongelea Uislam?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sasa mnachokiita uislam si Mila na tamaduni za kiarabu? Au nalo utabisha useme Allah, ndiye aliwaambia mle tende, ndiye aliyewaambia mvae kanzu, ndiye aliyewaambia mfuge madevu, ndiye aliwaambia msiweke viti misilitini, ndiye aliyewaambia mwanamke ni second class human? Hizo zote ni mila.za.kizamani na sheria za zamani za far and middle east na zilikuwa zinaitwa moseic laws.
 
Hoja zako haziendani na mada,kuwe muelewa ni haramu kwa mwanamke wa kiisilamu kuwaongoza kuwatawala wanaume kitendo cha mwanamke kukubali kuwa juu ya wanawake ni kukana uisilamu fahamu ndugu hacha kupindisha maandiko hao ulio wataja hakuna hata 1 alie wai kuwa kiongozi juu ya wanaume

Wewe huana elimu ktk masula ya kiislam na wala hujui Uongozi au utawala ktk Uislamu unaundwa vipi hebu nikuulize wewe katika ukristo uliwahi kusikia hata siku moja aliwahi kupatikana PAPA MWANAMKE? AU ASKOFU MWANAMKE ? hao ndio watawala katika Ukristo.
Elewa hivyohivyo katika Uislam ili uwe mtawala lazima uwe KHALIFA au AMIRY na sifa ya vyeo hivi haipatikani kwa mwanamke kama ilivyokua katika ukristo Upapa na uaskofi haupatikani kwa mwanamke
 
Back
Top Bottom