Si kweli kuwa Uislam hautambui uongozi wa mwanamke.Nilishangaa walipomuomba rais mwanamke awasaidie kutatua wakati dini yao haitambu uongozi wa mwanamke
Hongera zake.Mufti ni mtu makini lazima awe Yanga
Wee unajifanyaga mjanja kwa kila hoja na kutukana watu kwa sababu ya dini. Shida Nini?Usikae unadanganya watu kwa "ignorance" na "phobia" ulizojazwa.
Weka ushahidi.Wee unajifanyaga mjanja kwa kila hoja na kutukana watu kwa sababu ya dini. Shida Nini?
Weka ushahidi.
☝🏿Usikae unadanganya watu kwa "ignorance" na "phobia" ulizojazwa.
Unajuwa maana ya hayo maneno au umekurupuka usingizini tu?
Ndiyo. Hata hapa umetumia lugha ya kuudhi. Mbona Waislam wenzako humu hawanaga lugha ya kuudhi? Au wewe ni muislam wa Somalia?Unajuwa maana ya hayo maneno au umekurupuka usingizini tu?
Sawasawa..Interesting Kwa ufupi Sisi watu weusi hatuna kabisa uwezo wa kujiongoza.
Hata hayo makanisa ni sababu Yana wazungu wako juu wanatoa maelekezo...
Ukiona nakuudhi usinisome.Ndiyo. Hata hapa umetumia lugha ya kuudhi. Mbona Waislam wenzako humu hawanaga lugha ya kuudhi? Au wewe ni muislam wa Somalia?
makaveli10
Akhi
Accumen Mo
Njooni mjibizane na bibi yenu, mimi sitaki kupigwa Bann
Nilishangaa walipomuomba rais mwanamke awasaidie kutatua wakati dini yao haitambu uongozi wa mwanamke
Kilichokustuwa ni nini?nilistuka sana hata mm
Visheikh vya pale Temeke [emoji23][emoji23][emoji23]Bakwata ukipeleka kesi ya talaka makatibu wanataka pesa kuanzia 200k
Vile visheikh by pale temeke bakwata ht kuswali hawaswali,unaenda kuomba talaka badala akusaidie analeta see za kukuoa na Wana maneno ya hovyoo tena matusi kabisaaa
Nimeamua ku muislam tu w kufata Quran,Sunna na fiqh only that
Sio kweli, ukweli ni kuwa Wanawake wamepewa kipa umbele katika uislamuNilishangaa walipomuomba rais mwanamke awasaidie kutatua wakati dini yao haitambu uongozi wa mwanamke
Wewe umeelezea bizuri.Hao wajumbe wawili waliobaki wanasubiri nini kuachia ngazi, au ni magwiji ngoma hiyo wataiweza? All in all dini gani hiyo inajiingiza kwenye migogoro ya mali yenyewe kwa yenyewe? Kama vipi wawaachie tu hao wazee hizo mali na wakatafute na kuanzisha zingine. Wafanye kama wametoa sadka na shukrani kwa hao wazee wao wa dini
Hivi waziri mkuu wa U K ana asili ya Tanzania?Rekebisha waziri mkuu kutoka Tanzania sio India.Ungesema waziri mkuu Mtanzania mwenye asili ya Asia.
Hata wewe ni raia wa Tanzania mwenye asili ya Dodoma kwa Wagogoo
Mbona CCM pia inaendesha Nchi hivyo hiyo labda wameiga.ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge.
Dada eee talaka akishakupa mume inatosha haya ndo maamrisho sahihi ya dini yetu hayo mambo mengine ni ulaji tu wa watuBakwata ukipeleka kesi ya talaka makatibu wanataka pesa kuanzia 200k
Vile visheikh by pale temeke bakwata ht kuswali hawaswali,unaenda kuomba talaka badala akusaidie analeta see za kukuoa na Wana maneno ya hovyoo tena matusi kabisaaa
Nimeamua ku muislam tu w kufata Quran,Sunna na fiqh only that