[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa ni mkorofi sana ujue. Sijui huko nyumbani unaishi vipi na shemeji yetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Matatizo yote yatamalizwa iwapo WaIslam watakubali kuongozwa na Askofu Mkuu toka Catholic au Lutheran.
Jambo hili wala haliweza kuathiri Iman,bali kuongeza ufanisi na maadili ktk utendaji kazi.
Najua wapo watakaoshangaa na kuhoji uwezekano wa kuongozwa na Mgalatia lakini leo hii UK inaongozwa na Waziri Mkuu from India !.
Si kweli kuwa Uislam hautambui uongozi wa mwanamke.
Uislam ulikuja kumweka huru mwanamke.
Usikae unadanganya watu kwa "ignorance" na "phobia" ulizojazwa.
Bakwata ukipeleka kesi ya talaka makatibu wanataka pesa kuanzia 200k
Vile visheikh by pale temeke bakwata ht kuswali hawaswali,unaenda kuomba talaka badala akusaidie analeta see za kukuoa na Wana maneno ya hovyoo tena matusi kabisaaa
Nimeamua ku muislam tu w kufata Quran,Sunna na fiqh only that
Sio kweli, kuna mistari na hadithi zinaelezea hilo tena vema kabisa na wapo sahihi.Si kweli kuwa Uislam hautambui uongozi wa mwanamke.
Uislam ulikuja kumweka huru mwanamke.
Usikae unadanganya watu kwa "ignorance" na "phobia" ulizojazwa.
AstaghfirullahMatatizo yote yatamalizwa iwapo WaIslam watakubali kuongozwa na Askofu Mkuu toka Catholic au Lutheran.
Unajua mataifa ya kimagharibi yamewaharibu sana wanawake kiasi kwamba wanaanza kukengeuka hata mbele ya vitabu vya MUNGU.Acha kujitoa ufahamu ajuza,afgan wamepiga marufuku wanawake kusoma wala kufanya kazi,tambua talebani wanaishi misingi ya kurwani.
🤣🤣🤣🤣Ukaona usifie pekee yako utafute collateralInteresting Kwa ufupi Sisi watu weusi hatuna kabisa uwezo wa kujiongoza.
Hata hayo makanisa ni sababu Yana wazungu wako juu wanatoa maelekezo...
Achana nae huyo mjinga amejaa upumbavu mwingi mno hlf ni kichwa cha familia ety kichwa chake kimejaa topeSiyo kweli kabisa haya unayosema. Kwanza hiyo elimu unayosema ni ya wote siyo ya kujinasibu kwa wakristo tu. Hebu soma historia uone asili ya taaluma mbali mbali ndiyo utaelewa vizuri tu.
Wacha kueneza uongo na uzushi eti elimu dunia ni haramu katika uislamu. Na uwache kukariri mambo unayoambiwa huko kwenye taasisi yako ya dini bila uthibitisho.
Kweli visheikh tu havina hofu na Mungu viko pale kujuana tuVisheikh vya pale Temeke [emoji23][emoji23][emoji23]
yaani uongo wao mpaka unachosha kabisaAchana nae huyo mjinga amejaa upumbavu mwingi mno hlf ni kichwa cha familia ety kichwa chake kimejaa tope
Kuna huyu jiwe angavu,che mittoga,yule mkenya mk254,azarel ni mijitu mijinga kupita kiasi
Mme hataki kutoa talaka!!!!!na Kuna mazingira kidini talaka inaswihi kabisaaa!!ndo maana tukaenda bakwataDada eee talaka akishakupa mume inatosha haya ndo maamrisho sahihi ya dini yetu hayo mambo mengine ni ulaji tu wa watu
Am sorry brother sijakashifu dini Yako tafadhali naheshimu uhuru wa kuabudu wa Kila mtuDini ya uislamu imejaa,sexmanic creatures,hasa hao mashehe ubwabwa.
Fanya adabu kidogo, waliojiingiza kwenye migogoro ni bakwata, siyo dini.Hao wajumbe wawili waliobaki wanasubiri nini kuachia ngazi, au ni magwiji ngoma hiyo wataiweza? All in all dini gani hiyo inajiingiza kwenye migogoro ya mali yenyewe kwa yenyewe? Kama vipi wawaachie tu hao wazee hizo mali na wakatafute na kuanzisha zingine. Wafanye kama wametoa sadka na shukrani kwa hao wazee wao wa dini
mbona kama unaongea nje ya dini mpendwa wangu, hapa unaongea kwa mukhtadha wa siasa tu dini haitambui hayoSi kweli kuwa Uislam hautambui uongozi wa mwanamke.
Uislam ulikuja kumweka huru mwanamke.
Usikae unadanganya watu kwa "ignorance" na "phobia" ulizojazwa.
Aliyekudanganya maneno hayo nani?Interesting Kwa ufupi Sisi watu weusi hatuna kabisa uwezo wa kujiongoza.
Hata hayo makanisa ni sababu Yana wazungu wako juu wanatoa maelekezo...
Hapo ndo mtihani unapoanza Kama hataki toa talaka.Mme hataki kutoa talaka!!!!!na Kuna mazingira kidini talaka inaswihi kabisaaa!!ndo maana tukaenda bakwata
Wewe ni Muislam?mbona kama unaongea nje ya dini mpendwa wangu, hapa unaongea kwa mukhtadha wa siasa tu dini haitambui hayo
unaitenga vipi BAKWATA na dini?Fanya adabu kidogo waliojiingiza jwenye migogoro ni bakwata, siyo dini.