Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

Huwa mnatuaminishaga kuwa waislamu ni watu wasafi kimaadili
Usichanganye Uislam na taasisi iliyoanzishwa na serikali.

Hao wakuu wa Bakwata wote ni system, hata hiyo tume ya kuchunguza nayo yote ni system. Wamemaliza assignment moja wapo kwenye assignments zingine.

Hapo ni "mbwa kala mbwa".
 
21 January 2023
TOKA MAKTABA :

Makao makuu ya BAKWATA
Tanzania

TAARIFA KWA UMMA TOKA KWA MUFTI NA SHEIKH MKUU WA TANZANIA, ABUBAKAR ZUBEIR ALLY MBWANA




Kupitia mafanikio na changamoto katika uongozi wa miaka 7 ya Mufti na Sheikh mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir Ally Mbwana, mheshimiwa mufti ameunda Tume ya Maboresho ..
 
Sheikh Issa Othman Issa, ameandika barua ya kujiuzulu katika wadhifa wake wa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya Bakwata.

Sheikh Issa Othman Issa.
Sheikh Issa Othman Issa, ameandika barua kwa Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir ya kujiuzulu katika wadhifa wake wa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya Bakwata.

Sheikh Issa aliteuliwa na Mufti Zubeir, Januari mwaka huu 2023 kuwa mwenyekiti wa tume hiyo ambayo pamoja na mambo mengine, ilikuwa na jukumu la kuhakiki na kufuatilia mali za Bakwata zilizokuwa zinamilikiwa na watu wengine kinyume na sheria.
 
Viongozi Taasisi za Dini wanayofundisha na wanavyo ishi mungu ndo anajua.
 
Mufti zuber na kuongoza wapi na wapi!

Ova
 
Bakwata wana katiba inayosema waislamu wote ni wanachama wake. Hii inapingana na katiba ya nchi inayotoa uhuru wa kujiunga na Jumuia yoyote apendayo mtu.
Na sasa serikali inalazimisha taasisi zote za kiislamu ziweke kwenye katiba tamko la kujiweka chini ya Bakwata.
 
Unadanganya kwa kutumia uongo mtakatifu takiya

Ao uliowataja Muhammad kasema peponi watakuwa wake zake , mpaka mama wa Isa pedophile kadai atakuwa mke wake

Tukija kwa wanawake
Kadai mwanamke ni nusu ya akili ya mwanaume
Kadai mbwaweusi na Punda na mwanamke wakipita sala haikubaliki
Kadai wanawake wataenda motoni
 
 
Mkuu Ex Spy
Shukrani kwa kuanziasha uzi mzuri,
lakini umepunguza 'madini' uliyoweka awali,
umeupunja sana. Sijajua kwanini umefuta
taarifa muhimu ulizoweka mwanzo.
 
Lakini huyo Mwenyekiti aliyejiuzulu, nadhani naye alikuwa hatoshi. Kwanini kawaunganisha wenzake kwenye barua yake ya kujiuzulu. Anasema nimesikia. Barua yako ya kujiuzulu inamtaarifu mwenye mamlaka ya uteuzi kujiuzulu kwa wajumbe wengine? Nadhani si sawa. Kila mtu si angeandika barua yake?
 
Bado tuna ngojea Muhammad ashushiwe muujiza

Koran 10:20. Na wanasema: Kwa nini hakuteremshiwa Ishara kutoka kwa Mola wake Mlezi? Sema: Mambo ya ghaibu ni ya Mwenyezi Mungu. Basi nyinyi ngojeni, na mimi ni pamoja nanyi katika wanao ngojea.
Tunapo ngojea tukumbuke Allah kasema hana muujiza
Koran
17:59 And We refrain from sending the signs, only because the men of former generations treated them as false:
 
Mbona tz tangu tupate uhuru wakiristo ndio viongozi hata hiyo bakwata inaongozwa na wakirisito sababu ndio walio iasisi
 
Interesting Kwa ufupi Sisi watu weusi hatuna kabisa uwezo wa kujiongoza.

Hata hayo makanisa ni sababu Yana wazungu wako juu wanatoa maelekezo...
Mimi nina uwezo wa kuongoza mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…