nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Kwani wapo magereza ya ukonga? Ukonga si ni gereza la watu wanaotumikia hukumu au?DPP MPYA AKUTANA NA MASHEKHE GEREZANI UKONGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wapo magereza ya ukonga? Ukonga si ni gereza la watu wanaotumikia hukumu au?DPP MPYA AKUTANA NA MASHEKHE GEREZANI UKONGA
Waendeleze mapambano yao kutaka Zanzibar ijitenge na Tanganyika.Wameshatendwa kisaikolojia hiyo akili haipo tena.Jamaa wameteseka sana.
Walipwe fidia sio wanaachiwa tu kibwege...
Mkuu ninakusoma, lakini kadhia zote na hizi zikiwamo mbona ni rahisi tu? Kwanini kumuonea mtu?Unajua mazingira yaliyopelekea Hawa masheikh kuwekwa kizuizini yalikuwa tatanishi sana pia tuhuma zao zimekuwa kama za uonevu...
Hao waliokuja kuwachukua ZANZIBAR kisha mkawalets Tanganyika bila kujali kwamba ZANZIBAR Ina Mahakama yake MAKABURUMkuu dega habari.
Naomba kama hutojali unikumbushe majina ya hao wakoloni (Watu, nchi au taasisi) waliowatesa hao masheik wa uamsho kwa kipindi ulichokitaja.
Ahsante
Wacha upumbavu MBN hamkuwafunga kama walikua wanamakosa WACHENI UKOLONI HUOIla watahadharishee..wakianza yale mahubir yao ya alshababii, hizbollah na Hamas wanarudi ndani asubuh kweupeee..hatutaki upuuz puuz kwenye nchi yenye kila aina ya dini..huku wengine wakijipambanua kuwa dini yao ndio ina haki na kutaka sharia itawale hata wale ambao haiwahusu..
Imekuchomaa MitanganyikaIla watahadharishee..wakianza yale mahubir yao ya alshababii, hizbollah na Hamas wanarudi ndani asubuh kweupeee..hatutaki upuuz puuz kwenye nchi yenye kila aina ya dini..huku wengine wakijipambanua kuwa dini yao ndio ina haki na kutaka sharia itawale hata wale ambao haiwahusu..
kwa nini ulazimishe mungu wako aabudiwe na wengine, tena kwa bakora au kwa kulipuliwa mabomu?
Kama mnataka hivyoo nendeni sayar ya mars anzisheni taifa lenu mkajitawalee mtakavyoo..
Fullstop
Taifa moja mnatukandamiza kisiasa kiuchumi na kijamii mnatwita ndugu wa damu lkn mioyo yenu imejas chuki na uadui kwenu nyinyi Bora wabakaji navwafiraji watanganyika mtawaacha HURU lkn si Wazanbar amani gani unamuhubiria Ili akuelewe yule ambae baba yake au mtoto wake umemuweka kizuizi kwa miaka Kumi??Sisi ni taifa moja, Tuonapo viasharia vya vuvunjifu wa amani lazima tekemee vikali. Wazanzibar wengi huona kama wanaonewa hata kama wakifanya makosa.
Tuache hizi tabia.
Mtajuwana wenyeweWaliswekwa ndani kwa makosa gani? Ni rais gani aliyewaweka ndani? Magufuli au Kikwete au Shein au Karume?