Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Status
Not open for further replies.
Kuna habari zinasambaa kuwa viongozi wawili wameachiwa na wapo huru.

Habari zaidi zinasema mmoja wa viongozi hao ameoneka kwenye picha akiwa na Familia, mwenye taarifa zaidi plz.
Tusubiri Magazeti ya kesho tutajua ukweli
 
Kumbe Rugemalila na Seth wao hawako jela? mbona mindevu kama wapalestina!!
Hizo picha ni za zamani, Sababu mtu alietoka jela jana hawezi fuga NDEVU kwa siku moja na zikastawi hivyo!
 
hivi kesi yao ilikuwa ni nini ? samahan kwa usumbufu
 
Huyo jamaa mpuuzi sana kila kitu kibaya anamhusisha Magufuli kwa yeye hajui kuwa walikamatwa wakati wa Kikwete.

Mwana sambulumaa mpuuzi ni wewe kwa kujidhania kuwa u zaidi mno kuliko wengine. Kumbe jinga tu.
 
hivi kesi yao ilikuwa ni nini ? samahan kwa usumbufu
Walipewa kesi ya ugaidi.

Japo hawakufanya huo ugaidi .

Ila walikuwa wanaeneza sumu mbaya huko Zanzibar wangeachwa kidogo tu Zanzibar ingelipuka Kama Syrian


Kuwaweka gerezani miaka yote bila trial haikuwa haki kisheria.

Ila nao wajifunze Sasa familia zao Ni muhimu Sana kuliko zile kelele zao za kidini
 
Siku zako zinahesabika wewe ,nina uhakika unapoteza maisha kabla ya mwezi huu kumaliza maradhi ni yaleyale ya tatizo la kupumuwa.,wanaokujua wataleta taarifa hapa.
We ni Mungu?yaani unaropoka Kana kwamba umamlaka na uhai wangu.....hata wewe unaweza usitoboe mwezi huu ....au wewe unabima ya miaka 300?
 
Wewe endelea na upumbavu unafikiri miaka yote hiyo waliowashikiria hawana akili.

Suala la kuendelea na upumbavu halina mwenyewe wala upande.

Nawe endelea na upumbavu wako huo huo. Ila usidhani kwa kutowatendea haki watu wale au wowote wanaosota magerezani au kutangulizwa mbele za haki kidhwalimu kuwa ni sawa.
 
Kuna habari zinasambaa kuwa viongozi wawili wameachiwa na wapo huru.

Habari zaidi zinasema mmoja wa viongozi hao ameoneka kwenye picha akiwa na Familia, mwenye taarifa zaidi plz.
Mungu ibariki Uamsho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom