Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Status
Not open for further replies.
Sina mamlaka ya kuwajibia marehemu.

Porojo sio sehemu ya maisha yangu, kukamatwa akili kimihemko sio asili yangu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app

Na unadhani unayo hati miliki peke yako, ya uliyoyasema na hudhani kuwa yanaweza hata ku apply kwa watu wengine.

Hiiiiii bagosha! Mbona madogo yana nafuu!

Kuna makabila fulani fulani husemekana kuwa na hulka kama zako mkuu. Huenda ukawa ni mmoja wao.
 
Tuombe Allah kuwa walioachiwa sio magaidi. Lakini nashangaa sana wanaolalamika kuwa wamekukaa rumande muda mrefu, as iff ni wao tu ndio wameka rumande muda mrefu na hakuna wengine, na wanalalamika asi if serikali imewaweka kizuizini bila sababu yoyote. Kama serikali ingeweka kila kitu hadharani kutokana na habari za kiitenijensia ilizonazo nadhani maoni ya watu yangekuwa tofauti kabisa.
Kama serikali pamoja na intelijensia unayoisema imekosa ushahidi na imewaachia wewe umeutoa wapi.
 
Hawa ndo wanaleta ugaidi....wakitoka na amani inatoweka...wanaroho za kishetani.....hawakutakiwa kuwa hai Hawa mashekh wa uamsho....ni mawakala wa shetani....nashauri wanyongwe
Siku zako zinahesabika wewe ,nina uhakika unapoteza maisha kabla ya mwezi huu kumaliza maradhi ni yaleyale ya tatizo la kupumuwa.,wanaokujua wataleta taarifa hapa.
 
... ni jambo jema ila wasiende tena kupiga mapadre, watalii, na mashekhe wenye misimamo ya wastani risasi huko Zanzibar. Hii nchi ni yetu sote kila mtu ana haki ya kuishi.
 
Ebu tusaidie kutujilisha ili tupate kufaham
Mkubwa siwezi kusema najua, lakini naamini kuwa serikali haikukurupuka kuchukua uamuzi huu, sio uamuzi rahisi. Serikali haiwezi kumuweka mtu kizuizini kwa miaka tisa kwa sababu hewa, hasa akiwa shehe. Naamini kuwa itakuwa na sababu za kimsingi kabisa. Lakini tungekuwa tunazungumza lugha nyingine kama yangetokea mambo ambayo yangeharibu usalama wetu, tungekuwa wakwanza kuinyooshea vidole serikali.
 
Kama wametoka wawe under observance wakifanya yale yale yaliyosababisha wakashikwa basi na iwe hivyo.... (washikwe tena)
 
Ila Hawa pamoja na mengine yooote huwa naamini kweli watakuwa na viashiria vya vitendo vilivyowapeleka huko. Mana aliyewaweka huko ni JK,je JK ana interest ipi na watu kama hao hadi atake wakae ndani bila sababu?
 
Hawa ndo wanaleta ugaidi....wakitoka na amani inatoweka...wanaroho za kishetani.....hawakutakiwa kuwa hai Hawa mashekh wa uamsho....ni mawakala wa shetani....nashauri wanyongwe
Miaka yote hiyo kwanini hukupeleka huo ushahidi wako Mahakamani? haya matapishi yako uliyoyatapika hapa JF yanayoendeshwa kwa mihemko ya chuki binafisi hayana madhara yeyote.
 
... ni jambo jema ila wasiende tena kupiga mapadre, watalii, na mashekhe wenye misimamo ya wastani risasi huko Zanzibar. Hii nchi ni yetu sote kila mtu ana haki ya kuishi.
Kwanini hukupeleka huo ushahidi wako mahakamani? badala yake naona unakata viuno tu hapa JF kwa kujifanya kua unajua.
 
Roho ya kishetani na chuki za kipumbavu hazitakufikisha popote,au umesahau ni lini walikamatwa na kwa kosa gani na wapi? Acho domo zege na chuki za kishetani.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app

Roho ya kishetani na chuki za kipumbavu hazitakufikisha popote. Au umesahau wameshikiliwa zaidi katika kipindi cha nani?

Huyo aliyekuwa madarakani hakusikia kabisa kilio chao wala kutambua kuwa walistahili haki? Au alisubiri hadi arejee Kikwette ndipo watendewe haki?

Acha domo zege na roho za kishetani mburula wewe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom