basheer
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 223
- 215
Kama serikali inajua kuna mabaya walifanya kwanini wasihukumiwe kama Kweli wanahatiaTuombe Allah kuwa walioachiwa sio magaidi. Lakini nashangaa sana wanaolalamika kuwa wamekukaa rumande muda mrefu, as iff ni wao tu ndio wameka rumande muda mrefu na hakuna wengine, na wanalalamika asi if serikali imewaweka kizuizini bila sababu yoyote. Kama serikali ingeweka kila kitu hadharani kutokana na habari za kiitenijensia ilizonazo nadhani maoni ya watu yangekuwa tofauti kabisa.