uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are a devil indeedIli faa wanyongwe
Walikamatwa na kushikiliwa mwaka gani?
Kwa amri ya Nani na kosa gani?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Sisi ni taifa moja, Tuonapo viasharia vya vuvunjifu wa amani lazima tekemee vikali. Wazanzibar wengi huona kama wanaonewa hata kama wakifanya makosa.Baada ya miaka karibu ya Kumi ya dhulma unyanyasaji usio wa haki uliokuwa unafanywa na wakoloni wanaotutawala dhidi ya ndugu zetu wasio na hatia Leo kwa mara ya kwanza baada miaka Kumi wameweza kuungana na familia zao na kunusa harufu ya Hewa Safi
Jee wakoloni watawapa fidia ya DHULMA waliowafanyis?
Tusubiri
Wale hawakua jela, walikua kizuizini ujue kutofautishaHizo picha ni za zamani, Sababu mtu alietoka jela jana hawezi fuga NDEVU kwa siku moja na zikastawi hivyo!
Hivi mnajua walichokifanya hawa wanaojiita mashehe hadi kuwalililia?Tuombe Mungu iwe kweli maana kukaa mahabusu kwa miaka 9 sio haki kabisa na ni ukiukwaji wa katiba na haki za binadamu.
Kwahiyo kosa limehamia kwa alierithi madaraka?
Akili za chuki ni ngumu mno kujielewa
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hivi mnajua walichokifanya hawa wanaojiita mashehe hadi kuwalililia?
kwa nini watolewe usiku. Ni vyema wakatolewa mbele ya Mahakama saa za kazi.
Wengine hatujui hebu tusaidie regardless wametenda nini tunachodai haki itendeke.Hivi mnajua walichokifanya hawa wanaojiita mashehe hadi kuwalililia?
Kama unajua walichokifanya peleka ushahidi ili ushahidi utumike kuwahukumu.Chuki zenu zitawaua
Sina mamlaka ya kuwajibia marehemu.Kwa hiyo yeye hakuona umuhimu wa kuwatendea haki kama tu aliokuwa akiwabambikizia kesi zikiwamo za uhujumu uchumi na madawa ya kulevya?
Akili za kushikiliwa ni ngumu mno kujielewa.