Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Status
Not open for further replies.
Yasemekana baadhi ya Masheikh wa Uamsho wametolewa jana usiku saa moja. Miongoni mwa waliotolewa ni Sheikh Mselem na Sheikh Farid. Mwenye kujua zaidi naomba atujuze.

Iwe kheri Inshallah.
Sh Faridi na sh mselem wameachiwa jana usiku wameletwa znz na Faridi kasalisha Betras Alfajiri
Skh AAlR
IMG_20210616_073252.jpg
 
Huoni kua imeandikwa kua ni "Tetesi" na mara nyingi habari huanza kwa tetesi,
Vipi Mkuu hii habari imekuuma nini?
Itamuuma JK aliewasweka ndani,tunahitaji taarifa inayojitosheleza,sio kuleta tetesi,hizi tetesi bila mamlaka husika kutoa neno ni uongo.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kuwa Sheikh Farid na Sheikh Msellem wameachiwa.

Picha mbali mbali zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zinamuonesha Farid akiwa na familia yake.

Inasemekana wameachiwa jana usiku.

View attachment 1820098
ni vizuri aisee, kwa maana wameteseka sana watanzania wenzetu,bora waungane na familia zao, Tanzania hakuna ugaidi Wala upuuzi wa ugaidi, Nchi yetu Ni Taifa lenye amani, amani ambayo Ni zao la umadhubuti wa vyombo vyetu vya ulinzi, na sisi wenyewe pia kiasili si watu wa Shari
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom