Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Status
Not open for further replies.
Unajua mazingira yaliyopelekea Hawa masheikh kuwekwa kizuizini yalikuwa tatanishi sana pia tuhuma zao zimekuwa kama za uonevu...
Mkuu ninakusoma, lakini kadhia zote na hizi zikiwamo mbona ni rahisi tu? Kwanini kumuonea mtu?

Nakazia: Si tuzingatie misingi ya haki tu.

Mbona yale maelekezo toka juu siku hizi hatuyasikii tena? Au nayo yamepumzishwa kwa amani?
 
Niliwaona kwenye TV kabla hawajakamatwa mmoja wao akisema hakuna wa kutufanya lolote, sasa washafanywa wametoka watulie, sipendi unafiki wa kujifanya nawatetea, tena wakatulie wasilete vurugu za kipuuzi
 
Mkuu dega habari.
Naomba kama hutojali unikumbushe majina ya hao wakoloni (Watu, nchi au taasisi) waliowatesa hao masheik wa uamsho kwa kipindi ulichokitaja.

Ahsante
Hao waliokuja kuwachukua ZANZIBAR kisha mkawalets Tanganyika bila kujali kwamba ZANZIBAR Ina Mahakama yake MAKABURU
 
Wacha upumbavu MBN hamkuwafunga kama walikua wanamakosa WACHENI UKOLONI HUO
 
Najaribu kuwaza, miaka 9 gerezani na hawajakutwa na hatia. Je wanaweza kuomba fidia ya kupotezewa muda? Kuathiriwa kisaikolojia nk?
 
Imekuchomaa Mitanganyika
 
Sisi ni taifa moja, Tuonapo viasharia vya vuvunjifu wa amani lazima tekemee vikali. Wazanzibar wengi huona kama wanaonewa hata kama wakifanya makosa.
Tuache hizi tabia.
Taifa moja mnatukandamiza kisiasa kiuchumi na kijamii mnatwita ndugu wa damu lkn mioyo yenu imejas chuki na uadui kwenu nyinyi Bora wabakaji navwafiraji watanganyika mtawaacha HURU lkn si Wazanbar amani gani unamuhubiria Ili akuelewe yule ambae baba yake au mtoto wake umemuweka kizuizi kwa miaka Kumi??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…