Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Kama itakuwa kweliAllahamdulillah!
Sasa Kasuli undivided vizuri vipi, au unataka gazeti zima. Mm sio muandishiTulia uandike vizuriii unawahi wapiii
Huoni kua imeandikwa kua ni "Tetesi" na mara nyingi habari huanza kwa tetesi,Uwe unajiridhisha kwanza ndo utoe taarifa,sasa umetuletea uhalo wako tu humu bila kuwa na ukweli wowote.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu gani ?Moja ya habari njema sana kwa siku ya leo
Ha haaa itakua imemuuuma.Huoni kua imeandikwa kua ni "Tetesi" na mara nyingi habari huanza kwa tetesi,
Vipi Mkuu hii habari imekuuma nini?
Imemuuma si unajua tena shekhe ubwabwaHuoni kua imeandikwa kua ni "Tetesi" na mara nyingi habari huanza kwa tetesi,
Vipi Mkuu hii habari imekuuma nini?
Itamuuma JK aliewasweka ndani,tunahitaji taarifa inayojitosheleza,sio kuleta tetesi,hizi tetesi bila mamlaka husika kutoa neno ni uongo.Huoni kua imeandikwa kua ni "Tetesi" na mara nyingi habari huanza kwa tetesi,
Vipi Mkuu hii habari imekuuma nini?
ni vizuri aisee, kwa maana wameteseka sana watanzania wenzetu,bora waungane na familia zao, Tanzania hakuna ugaidi Wala upuuzi wa ugaidi, Nchi yetu Ni Taifa lenye amani, amani ambayo Ni zao la umadhubuti wa vyombo vyetu vya ulinzi, na sisi wenyewe pia kiasili si watu wa ShariTaarifa ambazo hazijathibitishwa ni kuwa Sheikh Farid na Sheikh Msellem wameachiwa.
Picha mbali mbali zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zinamuonesha Farid akiwa na familia yake.
Inasemekana wameachiwa jana usiku.
View attachment 1820098
Ati "waachiwe mara mojaa!!"😁Ndiyo maana yule mnafiki mufti alikuwa anajisogeza eneo la tukio
Unajifanya mtu mwingine et🤸🤸🤸Hiyo picha imepigwa lini?
Hivi huko selo huwa ndevu znaruhusiwa? Maana nlikuwa naskia ni mwendo wa vipara.
Jela ina Sheria zake humuoni yule Singa ndevu hadi mdimoniHiyo picha imepigwa lini?
Hivi huko selo huwa ndevu znaruhusiwa? Maana nlikuwa naskia ni mwendo wa vipara.
Mkuu,wamekaa kule muda mrefu.Kwa sababu gani ?