GE2025 Viongozi wa umma, wanasiasa na watendaji wa serikali wawabane watoto wao kutopost mali wanazomiliki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za uchaguzi. Tunajua viongozi sio maskini ila hili la watoto wao kupost mali na pesa hovyohovyo lina athari kubwa kwa serikali iliyoko madarakani. Ni kama kuwapa agenda ya bure wapinzani ambao tayari walishapoteza mwelekeo.

Kuna mtu hata ugali dagaa hajapata siku nzima mara anaonyeshwa na shetani Mange toto la Kigogo limebeba maburungutu na kuambiwa ni za kulia bata. Kwa vyovyote vile itamletea msongo wa mawazo na kukata tamaa. Pongezi kwa watoto wote wa viongozi wanaojiheshimu wasiopost mali za wazazi wao kijinga.
 
Sawa wasipost....
Kuna mmoja yeye hapost..namjua ila amenunua apartment 2 Dar, 2 Dodoma
Na anataka nyingine sehemu tofauti..
Nikajaribu kumuuliza dalali akasema zimetumika kama 1.5 B

Sasa mi nikajaribu kuulizia mshahara wa hiyo mtu...na vitu anavyofanya haviendani.... Sasa kwanini tunaendekeza wizi ?

Au tuseme wawe wanachota Kisha wasipost ?
 
Mkuu sitetei wasiopost ila hawa wanaopost ni wachonganishi wa wazi. Mimi ninaisapoti serikali iliyopo madarakani ila kwa huu upuuzi unaofanywa na hawa madogo ni vema kukemea. Ni kupandikiza chuki bila sababu.
 
Yule Mtanzania Mpumbavu niliyewaambia huyu hapa, bonge la Zuzu. Kwake viongozi kuiba ni Sawa ilimradi watoto wasipost vitu vya wizi.
Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za uchaguzi. Tunajua viongozi sio maskini ila hili la watoto wao kupost mali na pesa hovyohovyo lina athari kubwa kwa serikali iliyoko madarakani. Ni kama kuwapa agenda ya bure wapinzani ambao tayari walishapoteza mwelekeo.

Kuna mtu hata ugali dagaa hajapata siku nzima mara anaonyeshwa na shetani Mange toto la Kigogo limebeba maburungutu na kuambiwa ni za kulia bata. Kwa vyovyote vile itamletea msongo wa mawazo na kukata tamaa. Pongezi kwa watoto wote wa viongozi wanaojiheshimu wasiopost mali za wazazi wao kijinga.
waa
 
Wafiche ujambazi wa wazazi wao siyo?
 
Kwahy wasipo-post ndo itabadilisha nn.?

Badala uandike mada yenye kujitambua labla hata n kwann wanamiliki kiasi chote hicho cha fedha nyumbani au waje na chanzo cha mali zao, ww unakuja na mada ya kingese ety watoto wasipost.

FK U
 
Back
Top Bottom