GE2025 Viongozi wa umma, wanasiasa na watendaji wa serikali wawabane watoto wao kutopost mali wanazomiliki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe zuia wizi na mtu asiibe na akiibe ashikwe kwa kuiba na sio kwa kuonyesha alichoiba...; kama wamezipata kiuhalali hata wakiamua kulala kwenye Faranga, Kwacha au Hundi no one will care, and it wont be any of our business...

By the way wengine kazi yao ni utapeli (kuonyesha, kudanganya kwamba wanazo nyingi ili uwalipe wakufundishe jinsi ya kuzipata ili wapate na zako)....
 
Mkuu sitetei wasiopost ila hawa wanaopost ni wachonganishi wa wazi. Mimi ninaisapoti serikali iliyopo madarakani ila kwa huu upuuzi unaofanywa na hawa madogo ni vema kukemea. Ni kupandikiza chuki bila sababu.
Hv unajielewa kweli ww au ukishakuwa chawa hata akili kiduchu inakuwa haipo tena...ungekuwa na akili kuanzia sasa ulipaswa kuacha kusapoti wazazi wao yaani serikali na chama tawala kwa ujumla!.
Posho unayolipwa kuwatetea ni tone ya kiasi chote wanachotuibia!.
 
Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za uchaguzi. Tunajua viongozi sio maskini ila hili la watoto wao kupost mali na pesa hovyohovyo lina athari kubwa kwa serikali iliyoko madarakani. Ni kama kuwapa agenda ya bure wapinzani ambao tayari walishapoteza mwelekeo.

Kuna mtu hata ugali dagaa hajapata siku nzima mara anaonyeshwa na shetani Mange toto la Kigogo limebeba maburungutu na kuambiwa ni za kulia bata. Kwa vyovyote vile itamletea msongo wa mawazo na kukata tamaa. Pongezi kwa watoto wote wa viongozi wanaojiheshimu wasiopost mali za wazazi wao kijinga.
Uzi wa ******* kabisa huu, kwani wasipopost ndiyo wazazi wao wataacha ufisadi? Hawa na wazazi wao siku ya siku ni wa kuchomwa moto tu
 
Sio uzi tu ...pamoja na mleta uzi kwanini unamsahau?..
Ndio maana nakuambia hawa chawa ni mazezeta sana...kama huyu...yaani yeye kilichomuuma nikuona watoto wanaposti hivyo anashauri wasiposti ila waendelee kupiga....hahaha...ila chawa ni malofa sana...
 
Upo sahihi. Lakini pia Zama za chuki vijicho na usaliti na uovu wa kila namna umeshamili.
Unaweza kuta tu mtu tu mnayedhani ni ndugu yenu kaja nyumbani na maburungutu ya fedha kawalaghai wanao wapige nazo picha. Bila kujua athari zake watoto wameingia mkenge wamepiga picha kweli na mhuni kaamua kuzitumia picha hizo kumchafua mtumishi. Mtu mbaya ni mbaya tu ndo maana tunasali kila leo Mungu utuepushe na yule mwovu. Dunia imejaa majuha wa kila namna
Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za uchaguzi. Tunajua viongozi sio maskini ila hili la watoto wao kupost mali na pesa hovyohovyo lina athari kubwa kwa serikali iliyoko madarakani. Ni kama kuwapa agenda ya bure wapinzani ambao tayari walishapoteza mwelekeo.

Kuna mtu hata ugali dagaa hajapata siku nzima mara anaonyeshwa na shetani Mange toto la Kigogo limebeba maburungutu na kuambiwa ni za kulia bata. Kwa vyovyote vile itamletea msongo wa mawazo na kukata tamaa. Pongezi kwa watoto wote wa viongozi wanaojiheshimu wasiopost mali za wazazi wao kijinga.
 
Swala sio kupost, nilitegemea ukemee kabisa kujilimbikizia mali.
Kwahiyo unahalalisha ufisadi ila unashauri ufanyike kwa siri tu?
 
Hv unajielewa kweli ww au ukishakuwa chawa hata akili kiduchu inakuwa haipo tena...ungekuwa na akili kuanzia sasa ulipaswa kuacha kusapoti wazazi wao yaani serikali na chama tawala kwa ujumla!.
Posho unayolipwa kuwatetea ni tone ya kiasi chote wanachotuibia!.
Wewe maku hizo posho unasaini wewe hadi usemwe ninalipwa? Sio kila mtu ana njaa za kimaku kama nyie mnaonishambulia. Niko vizuri kiuchumi sina njaa. Nyie mnaolialia mitandaoni ndo mna njaa.. mtagongwa
 
MamaSamia2025 watu wamechafukwa kwenye uzi wako. Wacha sisi tukomae na Vale Nafaka wetu super woman nembo yetu mpya ya Taifa. View attachment 3471176
Keyboard warriors wamechafukwa balaa.. halafu wengi wao sio kwamba wanachukia ufisadi. Wanachukia wao kukosa nafasi nyeti. Magu aliwajua ndo maana alikuwa anawanunua kama mbuzi mnadani. Halafu Vale Nafaka ni toto la nyumbani kabisa... mimi ni kama kaka yake maana wakati anazaliwa sisi tayari tuko sekondari karibia kumaliza kabisa. Huyu ananiita Uncle. Ni ngumu kumgusia suala la mapenzi.
 
Hahaha-haha-hahahahaha! Naona hadi chawa wamemaind!! Hahaha-hahahahaha-hahahahaha.
Chawas walijua wanapiga hela kupewa hizo buku saba saba ....Sasa wamemaind baada ya kuona kumbe ni kama mbwa tu wanaodondoshewa mifupa
 
Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za uchaguzi. Tunajua viongozi sio maskini ila hili la watoto wao kupost mali na pesa hovyohovyo lina athari kubwa kwa serikali iliyoko madarakani. Ni kama kuwapa agenda ya bure wapinzani ambao tayari walishapoteza mwelekeo.

Kuna mtu hata ugali dagaa hajapata siku nzima mara anaonyeshwa na shetani Mange toto la Kigogo limebeba maburungutu na kuambiwa ni za kulia bata. Kwa vyovyote vile itamletea msongo wa mawazo na kukata tamaa. Pongezi kwa watoto wote wa viongozi wanaojiheshimu wasiopost mali za wazazi wao kijinga.
Za uhalali au za mchongo ili tujue kipimo chako cha akili?
 
akili zawap hizi?? hii ni reasoning ya wap au ww nae unatoka familia ya viongozi???au ww n chawa???

Kwa akili zangu za milembe nadhan ingetakiwa iwepo sheria ya transparency ya mali ya wanazomiliki viongozi na familia zao tena ikiwezekana na watoto wao ...............tena huwa nawashangaa wanaosemaga kuwa wananchi sisi ndo mabosi wa viongozi wa serikalin...............unawezaje kuwa bosi wa mtu na hujui analipwa bei gan???
 
Pamoja na kwamba kanatoka kwenye familia ya mboga 7, ila kale kadada ni kabaya aiseee. Na ninahisi hata akili hakana. Ama hakika Mungu hakupi vyote.
 
Ila tunashkuru Mungu wanapost, tunapata kujua jinsi gani wanajichotea hela za umma..
 
Unazuia kufuga nguruwe halafu unauza kitimoto.
 
Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za uchaguzi. Tunajua viongozi sio maskini ila hili la watoto wao kupost mali na pesa hovyohovyo lina athari kubwa kwa serikali iliyoko madarakani. Ni kama kuwapa agenda ya bure wapinzani ambao tayari walishapoteza mwelekeo.

Kuna mtu hata ugali dagaa hajapata siku nzima mara anaonyeshwa na shetani Mange toto la Kigogo limebeba maburungutu na kuambiwa ni za kulia bata. Kwa vyovyote vile itamletea msongo wa mawazo na kukata tamaa. Pongezi kwa watoto wote wa viongozi wanaojiheshimu wasiopost mali za wazazi wao kijinga.
Mwisho upo karibu.
 
W
Mkuu sitetei wasiopost ila hawa wanaopost ni wachonganishi wa wazi. Mimi ninaisapoti serikali iliyopo madarakani ila kwa huu upuuzi unaofanywa na hawa madogo ni vema kukemea. Ni kupandikiza chuki bila sababu.
Ww hebu kaa ujitafakali....wanapandikiza chuki bila sababu !!!!Hivi uko siliazi kabisa ....mtu mwizi anawaonyesha wizi wake nyie mnaona kama anapandikiza chuki kwani tangu lini mwizi ni mtu wa kumpenda .....dah
 
Back
Top Bottom