Mwisho wa ubaya,aibu!Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za uchaguzi. Tunajua viongozi sio maskini ila hili la watoto wao kupost mali na pesa hovyohovyo lina athari kubwa kwa serikali iliyoko madarakani. Ni kama kuwapa agenda ya bure wapinzani ambao tayari walishapoteza mwelekeo.
Kuna mtu hata ugali dagaa hajapata siku nzima mara anaonyeshwa na shetani Mange toto la Kigogo limebeba maburungutu na kuambiwa ni za kulia bata. Kwa vyovyote vile itamletea msongo wa mawazo na kukata tamaa. Pongezi kwa watoto wote wa viongozi wanaojiheshimu wasiopost mali za wazazi wao kijinga.
Mkuu wapi alipozaliwa na sekondari gani ulisoma?Keyboard warriors wamechafukwa balaa.. halafu wengi wao sio kwamba wanachukia ufisadi. Wanachukia wao kukosa nafasi nyeti. Magu aliwajua ndo maana alikuwa anawanunua kama mbuzi mnadani. Halafu Vale Nafaka ni toto la nyumbani kabisa... mimi ni kama kaka yake maana wakati anazaliwa sisi tayari tuko sekondari karibia kumaliza kabisa. Huyu ananiita Uncle. Ni ngumu kumgusia suala la mapenzi.
Toto la Arusha hilo.Mkuu wapi alipozaliwa na sekondari gani ulisoma?
Badala ya kukataa wizi wa mali za umma unakataa watoto kupiga picha na ku expose wizi huo.Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za uchaguzi. Tunajua viongozi sio maskini ila hili la watoto wao kupost mali na pesa hovyohovyo lina athari kubwa kwa serikali iliyoko madarakani. Ni kama kuwapa agenda ya bure wapinzani ambao tayari walishapoteza mwelekeo.
Kuna mtu hata ugali dagaa hajapata siku nzima mara anaonyeshwa na shetani Mange toto la Kigogo limebeba maburungutu na kuambiwa ni za kulia bata. Kwa vyovyote vile itamletea msongo wa mawazo na kukata tamaa. Pongezi kwa watoto wote wa viongozi wanaojiheshimu wasiopost mali za wazazi wao kijinga.