Hahaaa kuita wenzio wanafki unaona sawa eh? Shwain mkubwaShwain Bibi yako aliemzaa baba ako akakuzaa ww Mwenye akili za kishwain ambazo hazion lipi zuri na lip baya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ww Kama unaakili kwel unajilinganisha na urusi na China wakati Kenya tu hapo wanakuzid, bila Shaka ww hutumii brain utakua unatumia spinal cord kufikiriHahaaa kuita wenzio wanafki unaona sawa eh? Shwain mkubwa
Wewe Shwain Rudi kwenye hoja ya msingi. Issue ilikuwa ni english na exposure huko duniani. Ndio Mana nikauliza what is the role of english wakati Kuna inchi Zina exposure kubwa na English sio kipaumbele. Nimekutajia warusi na wachina Kama mfano tu. Not mentioning france, Germany etc.Sasa ww Kama unaakili kwel unajilinganisha na urusi na China wakati Kenya tu hapo wanakuzid, bila Shaka ww hutumii brain utakua unatumia spinal cord kufikiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Serikali ilipoamua kuhama toka English.medium kuja swahili.medium walimu walitimuliwa wote? Na iliwezekanaje wakati vitabu vyote vya kufundishia vilikuwa English na vyuo vya walimu vilikuwa English?hii haitewezekana kwa sababu ya walimu wengi wanaofundisha kayumba English ni tatizo kubwa kwao, labda useme wote watimuliwe waajiriwe wengine nchi nzima wataofit na mfumo wa english media
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mm ni mvivu Wa kufikiri , tupe Sabab zenye mashiko za wachina na warusi kuendelea, ili tuendelee kukipa promo kiswahiliWewe Shwain Rudi kwenye hoja ya msingi. Issue ilikuwa ni english na exposure huko duniani. Ndio Mana nikauliza what is the role of english wakati Kuna inchi Zina exposure kubwa na English sio kipaumbele. Nimekutajia warusi na wachina Kama mfano tu. Not mentioning france, Germany etc.
Hapo issue ni uvivu wa fikra na vitendo hata mngejua lugha zote duniani. Shwain wewe [emoji1787][emoji23]
Walimu wanajua hicho kiingeleza? Walifundishwa kufundisha kiingeleza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Diploma na digrii za ualimu wa shule za msingi vyuoni hufundishwa kwa kiingereza sio kiswahiliWalimu wanajua hicho kiingeleza? Walifundishwa kufundisha kiingeleza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mm ni mvivu Wa kufikiri , tupe Sabab zenye mashiko za wachina na warusi kuendelea, ili tuendelee kukipa promo kiswahili
Shwain square
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika points tupu. Happy new year mkuu.Kwa namna viongozi wetu walivyo wabinafsi hili litakuwa ndoto kulitekeleza. Hata hivyo, ili elimu yetu angalau ibadilike kuna mambo yapaswa yafanyike. Baadhi ya mambo yakufanya ni:
1. Kuboresha mitaala yetu ili iweze kuwasaidia wanafunzi wanaomaliza katika ngazi mbalimbali waweze kujitegemea. Sio lazima wanafunzi wanaomaliza ngazi moja ya elimu waendelee na ngazi ya juu ya hapo walipomalizia. Kuwe na elimu kama za vocational skills na ujasiriamali.
2. Kuwe na maboresho kwenye maslahi ya watumishi wa idara ya elimu. Walimu wanapoona viongozi wanalipana maposho manono manono na mishahara mizuri huku wao wakiambiwa wafunge mikanda tujenge hiki na kukarabati kile, tusitegemee output nzuri kutoka kwa hawa watu. Mshahara wa mwalimu mwenye shahada kwa mfano ni karibia nusu ya anayopokea askari (mshahara+posho). Vitu hivi huwavunja myoyo watumisha wa idara ya elimu. Kingine hapa ni kuwa, mwalimu akijiendeleza zaidi ya shahada ya kwanza, shahada yake hiyo haitambuliki. Mtu huyu anajiendeleza ili awe bora zaidi, ila hatapata maslahi yanayoendana na ubora wake.
3. Kingine ni kuwa inabidi watoto/wanafunzi wapate chakula shuleni (uji asubuhi + chakula cha mchana). Hivi vitaongeza utulivu na usikivu wa watoto shuleni na kuepusha utoro ambao mwingi huchangiwa na njaa. Kama mtu hajala hawezi kuwa na uskivu na hivyo ni kazi bure kwa mwalimu kukomaa na mavipindi huko shuleni. Suala la chakula lapaswa kuwa mandatory kwa kila shule.
4. Rasilimali zingine kama za kiteknolojia zapaswa kuwa sehemu ya usomaji na ufundishaji ili kurahisisha uelewa wa wanafunzi.
NB: Ikiwa tutalazimisha (japo ni ngumu) viongozi wetu kupeleka watoto wao shule za St. Kayumba, watachagua shule chache na kuziboresha na huko ndipo watapeleka watoto wao. Mara nyingi nafsi zao ndio za kwanza then wengine ndio mtajijua. Kingine ni kuwa kwangu lugha sio big deal, big deal kwangu ni ubora wa kinachotolewa (elimu).
HAPPY NEW YEAR, 2020.
Pia naona na ww umetoka Nje ya mada hakuna alieongelea demokrasia , pia sizani Kama hayo yatakua sawa Kama wananchi hawana elim bora ,Hahaaa now u are talking. Mkuu ni hivi hizi nchi zilisimamia mambo makuu matatu. 1. Nidhamu ya kazi na muda. 2. Ruhwa na uhujumu uchumi- mtu aliwajibishwa bila kuangalia cheo chake Tena kwa adhabu kali ikiwemo kifo. 3. Kutekeleza kikamilifu sera na malengo ya nchi waliyojiwekea ikibidi hata kutumia nguvu na udikteta na yeyote aliyeonekana kikwazo alipotezwa.
Na hii ndiyo tabia ya nchi yoyote unayoiita tajiri wewe Leo hii. Sasa nyie jifanyenyi kuhubiri demokrasia ambayo waasisi wake wagiriki mpka Leo haijawasaidia kiuchumi. Shwain
Kwani hao watoto wa viongozi au wote wanaosoma English medium schools wamevumbua Nini zaidi ya kuwa na connection tu za baba zao?Pia naona na ww umetoka Nje ya mada hakuna alieongelea demokrasia , pia sizani Kama hayo yatakua sawa Kama wananchi hawana elim bora ,
Kubali kwamba elimu yetu ni tatizo Nchi haiwezi kua na maendeleo Kama haitengenezi wataalam wanaoweza kuvumbua mifumo tofauti ili kuendana na mabadiliko ya kiulimwengu,
Tuache kujidanganya mkuu vitu vingi ambavyo wenzetu wamevivumbua vipo kwenye lugha ya kingereza sasa nasi ili watu wako waweze kufaham na kutoa changamoto ya mifumo inayovmbuliwa lazima wafaham vizur lugha iliyotumika katika mifumo hiyo bongo lugha bado no tatizo mkuu,
Sasa unakuta viongozi wote Wa serekalini hakuna hata mmoja ambae mtoto wake anasoma kwenye shule ambazo zinatumia kiswahili kufundisha sasa kwa akili ya kawaida kipi bora hapo
Shwain
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesomea ualimu kwa kiingereza waliposoma diploma na digrii zao za ualimu vitabu vya syllabus vya shule za msingi vya kiingereza vipo na Baraza la mitihani hutunga mitihani ya kumaliza darasa la Saba kwa kiingereza ..Ni kuwa switch toka Swahili medium na kuwapeleka English medium.Walimu wanajua hicho kiingeleza? Walifundishwa kufundisha kiingeleza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa.
Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium.
Wanafiki wakubwa nyie msio na haya
Hizi ndizo salamu zangu kwenu za mwaka mpya
Wote vyama vya siasa kuanzia CCM na upinzani hakuna hata anayeongelea hili iwe bungeni au popote .Sababu watoto wao Wako English medium hawajali hao Wengine Loooooh!. Roho mbaya kabisaaa
Huo ni mpango mahsusi wa watawala kutengeneza madaraja(classes), wale wachovu kizazi chao kisome shule za kichovu.Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa.
Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium.
Wanafiki wakubwa nyie msio na haya
Hizi ndizo salamu zangu kwenu za mwaka mpya
Sio kweliUmeongea ishu moja ya maana Sana Sana..... Mfumo wa elimu mbovu.... Na hapa ndipo tatizo lilipo. Ila sio lugha. Mfumo wa elimu huu tulionao hata ufundishwe kwa lugha ya malaika na mashetani hautufikishi popote.