Pia naona na ww umetoka Nje ya mada hakuna alieongelea demokrasia , pia sizani Kama hayo yatakua sawa Kama wananchi hawana elim bora ,
Kubali kwamba elimu yetu ni tatizo Nchi haiwezi kua na maendeleo Kama haitengenezi wataalam wanaoweza kuvumbua mifumo tofauti ili kuendana na mabadiliko ya kiulimwengu,
Tuache kujidanganya mkuu vitu vingi ambavyo wenzetu wamevivumbua vipo kwenye lugha ya kingereza sasa nasi ili watu wako waweze kufaham na kutoa changamoto ya mifumo inayovmbuliwa lazima wafaham vizur lugha iliyotumika katika mifumo hiyo bongo lugha bado no tatizo mkuu,
Sasa unakuta viongozi wote Wa serekalini hakuna hata mmoja ambae mtoto wake anasoma kwenye shule ambazo zinatumia kiswahili kufundisha sasa kwa akili ya kawaida kipi bora hapo
Shwain
Sent using
Jamii Forums mobile app