Wote wanaofundisha shule za English medium Ni watanzania na wamesoma vyuo vya ualimu vya Tanzania kwa taarifa yako diploma na digrii za ualimu wa shule za msingi husoma kwa kiingerezaDah apo sasa ndo pagumu maana kweli Walimu wetu wengi Lugha shida, ila m binafsi natamani watoto wasome ngeli toka primary masomo yote.
Kiswahili Liwe somo kama la kujitegemea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huelewi unaongea nini!Moja ya baraka ambayo watz hatujaitumia ni kiswahili. Tunang'ang'ania kiingereza sababu tuna mawazo kikoloni kwenda kumfanyia kazi mzungu na bado tunawaza kuwa kujua kiingereza ndiyo usomi, hili bado halijatutoka.
Alichoeleza nani?
YEHODAYA ame-like hii comment yako and that must tell you a lot about him.
Serikali English medium wanazo siku nyingi hazijaanza juzi Mfano olyimpio primary school Dar es salaam ni ya miaka mingi.Ila ni chache zilikuwa kwa ajili ya watoto wa mabalozi wa Tanzania walioko balozi zetu nje ya nchi kusoma ili wakienda kwa wazazi wao nje ya nchi Wawe vizuri.Watu wanaongea kumbe hawajui , serikali ina shule 11 za msingi ambazo ni English medium ,shule hzo zipo kwenye majaribio . sasa ni mwaka
Nilijua tu lazima uvuke mipaka ya nchi
Bila Mwalimu hii nchi leo ingekuwa Somalia wewe. Wazee wa Kariakoo walivyokuwa wamejipanga kuitwaa Tanganyika na ajenda zao tusingesalimika wewe. Fikiria historia anayoihubiri Mzee Mohamed Said ndio ingekuwa historia inayofundishwa mashuleni leo na "vitabu" vyake ndio vingekuwa vitabu vya kiada mashuleni leo! Dah!Licha ya kuwa Mwalimu ndio nguzo kuu ya Umaskini na Ujinga Tanzania ana wafuasi ambao hawaelewi kitu kabisa. Sijui hata walilishwa nini na wazee wao.
Jemedari?Wewe utakuwa mpiga dili mlizoea kupeleka watoto nje kusoma kwa kuwaibia Wanyonge.. Sasa Jemedari Dr JPM anawanyoosha mnalia lia hapa..
Bila Mwalimu hii nchi leo ingekuwa Somalia wewe. Wazee wa Kariakoo walivyokuwa wamejipanga kuitwaa Tanganyika na ajenda zao tusingesalimika wewe. Fikiria historia anayoihubiri Mzee Mohamed Said ndio ingekuwa historia inayofundishwa mashuleni leo na "vitabu" vyake ndio vingekuwa vitabu vya kiada mashuleni leo! Dah!
Apumzimke kwa amani Mwl. J. K. Nyerere jemadari wa nyakati zote.
Unafikiri kwanini wakoloni walitufundisha kwa kiingereza? Kwanini nchi kama Korea, China na Japan waliammua kuujifunza elimu ya magharibi kwa lugha zao? Hiyo story ya Nyereree kutumia kiswahili ili kudumaza elimu ni conspiracy tu. Unaamini mtu akijifunza kwa kiingreza anaelimika zaidi kuliko aliyejifunza kwa kiswahili?Hata huelewi unaongea nini!
Mwalimu alileta kiswahili mahsusi kwa kuididimiza elimu baada ya kuelezwa makundi yaliyoshiriki kumpindua 1964, hapo kitakuwaje nataka?
Aliambiwa in 20 years watu watakuwa wame cope up na kiswahili hivyo wasomi watakuwepo pamoja na kuharibu mfumo 1967, ndio maana Kwa kufuata ushauri wa makachero wa wingereza akatangaza kujiuzuru 1985! Nyuma ya kiswahili ni laana! What is the essence of literature review? Ukijua chanzo ni nusu ya solution!
Usibebwe na upepo kirahisi, use your brain, kiswahili ni lugha 'Toto' hakina vocabularies kama hizo lugha nyingine za asili, eti 'password' inaitwa nywiwa kwa asili ipi? Nadhani kiswahili kina utapeli mwingi especially kwa waendelezaji lugha wake!Unafikiri kwanini wakoloni walitufundisha kwa kiingereza? Kwanini nchi kama Korea, China na Japan waliammua kuujifunza elimu ya magharibi kwa lugha zao? Hiyo story ya Nyereree kutumia kiswahili ili kudumaza elimu ni conspiracy tu. Unaamini mtu akijifunza kwa kiingreza anaelimika zaidi kuliko aliyejifunza kwa kiswahili?