YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
- Thread starter
- #61
Wote wanaofundisha shule za English medium Ni watanzania na wamesoma vyuo vya ualimu vya Tanzania kwa taarifa yako diploma na digrii za ualimu wa shule za msingi husoma kwa kiingerezaDah apo sasa ndo pagumu maana kweli Walimu wetu wengi Lugha shida, ila m binafsi natamani watoto wasome ngeli toka primary masomo yote.
Kiswahili Liwe somo kama la kujitegemea
Sent using Jamii Forums mobile app