Bradson
Member
- Dec 26, 2019
- 66
- 88
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah apo sasa ndo pagumu maana kweli Walimu wetu wengi Lugha shida, ila m binafsi natamani watoto wasome ngeli toka primary masomo yote.Hii itakua ngumu mno! watoto wetu watafeli mpaka basi
English medium ni mfumo mzuri sana nami pia niseme wazi mwanangu yupo huko anapiga zake ngeli
hii haitewezekana kwa sababu ya walimu wengi wanaofundisha kayumba English ni tatizo kubwa kwao, labda useme wote watimuliwe waajiriwe wengine nchi nzima wataofit na mfumo wa english media
Vyuo vya walimu pia hasa hivi vya certificate vibadilisho
Elimu bure hii ya kiswahili serikali inashindwa, itaweza vipi elimu kwa english media?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimu wengi wanajua kutamka maneno ya kingereza lakin kuongea kifasaha shidaKwani Serikali ilipoamua kuhama toka English.medium kuja swahili.medium walimu walitimuliwa wote? Na iliwezekanaje wakati vitabu vyote vya kufundishia vilikuwa English na vyuo vya walimu vilikuwa English?
Kwa Nini isiwezekane Sasa kubadili kutoka Swahili medium kuwa English medium wakati walimu wote wa diploma wa shule za msingi husoma diploma zao na digrii za elimu ya ualimu wa shule ya msingi kwa kiingereza?
Mbona shule za English medium walimu wanaofundisha Ni watanzania hao hao waliosoma vyuo hivi hivi vya ualimu vya Tanzania? Hazifundishwi na watu wa nje mbona?
English medium ndio hao hao wanaofundisha waliosoma vyuo vyetu vya ualimu mbona watoto wanatoka wako fit tu.Shule zote za English medium walimu ni watanzania Tena visichana na vivulana vidogo tu vilivyomaliza vyuo vyetu ualimu vya Tanzania.English medium schools Wala hazifundishwi na vibibi na vibabu visivyosaidia enzi za ukoloni wa mwingereza au vilivyomaliza middle school au darasa la kumi la mkoloni mwingerezaWalimu wengi wanajua kutamka maneno ya kingereza lakin kuongea kifasaha shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha Kuna babu mmoja nduguye na mwenye shule alimleyta huyo babu msstaafu atufundishe kiingereza yeye kutwa alikuwa akidai hatujui kiingereza eti kimejaa many common mistakes akatuletea kitabu chake Cha kizamani kimepauka hicho eti kila mtu ampe hela akatutolee photocopy wakati anatumia photocopy ya shule tukagoma.Kitabu chake hicho kilichozeeka na kupauka kilikuwa kinaitwa common mistakes in English mwandishi simkumbuki Lakini alikuwa na Jina la kigiriki Sijui fitikides sikumbuki vizuriWalimu wengi wanajua kutamka maneno ya kingereza lakin kuongea kifasaha shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesema watanzania waliona uwezo wa kifedha kuwatujumu wanasiasa pekee hakutoshi.Wote vyama vya siasa kuanzia CCM na upinzani hakuna hata anayeongelea hili iwe bungeni au popote .Sababu watoto wao Wako English medium hawajali hao Wengine Loooooh!. Roho mbaya kabisaaa
Ukisema Mwalimu ndio rais mbovu kuwahi kutokea nchi hii watakutukana balaaa
Mijadala kama hii ni bora ungekuwa unapitia coments ili ujifunze kitu, kuliko kuandika usichokijua!
Historia usiyoijua ni 1964, kulitolea jeribio LA mapinduzi na walimpindua Mwalimu, kati ya makundi yaliyosemekana kushiriki, ni Wasomi, Wafanya biashara na Wanajeshi weusi.
Baada ya kuzima mapinduzi, mwalimu alishauriwa na makachero ya uingereza adhibiti hayo makundi, kwanza akabadili gia, alikuwa bepari akawa mjamaa toka 1966 baada ya kwenda China, mbili akabadiri lugha ya kufundishia 1967, kutoka english to Swahili ili kupunguza wanaojielewa a.k.a wasomi, tatu akatangaza azimio la Arusha ili kudhibiti wafanya biashara na kuwapora Mali zao etc!
Kaa pembeni ujue mambo sio unatumia usichokijua
Mnaambiwa msicho kijua, China wanasumbuks kuwasomesha watoto wao shule za kiingereza kwa gharama yyt
Ulicho eleza ndicho alicho eleza sijui umekwama wapiMijadala kama hii ni bora ungekuwa unapitia coments ili ujifunze kitu, kuliko kuandika usichokijua!
Historia usiyoijua ni 1964, kulitolea jeribio LA mapinduzi na walimpindua Mwalimu, kati ya makundi yaliyosemekana kushiriki, ni Wasomi, Wafanya biashara na Wanajeshi weusi.
Baada ya kuzima mapinduzi, mwalimu alishauriwa na makachero ya uingereza adhibiti hayo makundi, kwanza akabadili gia, alikuwa bepari akawa mjamaa toka 1966 baada ya kwenda China, mbili akabadiri lugha ya kufundishia 1967, kutoka english to Swahili ili kupunguza wanaojielewa a.k.a wasomi, tatu akatangaza azimio la Arusha ili kudhibiti wafanya biashara na kuwapora Mali zao etc!
Kaa pembeni ujue mambo sio unatumia usichokijua
Ni upumbavu ulio kufikisha hapo hao ulio wataja wanapigana vikumbo kusomesha watoto wao kwenye shule za kiingereza. Ni kuulize swali?Wewe Shwain Rudi kwenye hoja ya msingi. Issue ilikuwa ni english na exposure huko duniani. Ndio Mana nikauliza what is the role of english wakati Kuna inchi Zina exposure kubwa na English sio kipaumbele. Nimekutajia warusi na wachina Kama mfano tu. Not mentioning france, Germany etc.
Hapo issue ni uvivu wa fikra na vitendo hata mngejua lugha zote duniani. Shwain wewe [emoji1787][emoji23]
Moja ya baraka ambayo watz hatujaitumia ni kiswahili. Tunang'ang'ania kiingereza sababu tuna mawazo kikoloni kwenda kumfanyia kazi mzungu na bado tunawaza kuwa kujua kiingereza ndiyo usomi, hili bado halijatutoka.Kwa mala ya kwanza umeongea hoja zenye mashiko! Ungekuwa rafiki yangu wa kuaminika ningekupa chronological flow! Na ushahidi kuwa kwa upande mmoja kiswahili kimeliunganisha taifa lakini lengo la awali halikuwa zuri?!
Kama lengo la awali halikuwa jema, kiswahili ni moja ya 'laana' especially kwenye mfumo wa elimu!
Reference kama wewe ni mchunguzi, jua je ni lini Mwalimu alibadiri gia kutoka kuwa bepari mpaka mjamaa, 1966 while mapinduzi yalikuwa 1964, and Azimio 1967!
Curses kwa nchi hii ni 1. Azimio la Arusha, (kudhurumu Mali za watu) 2. Kiswahili 1967 ili kuudhoofisha mfumo wa elimu etc.
Yote hayo yalipangwa baada ya jaribio la mapinduzi 1964.
Nafikiri miundoombinu, ratio ya wanafunzi kwa mwalimu na uzuri mwingine wa hizo shule unaujua. Fikiria hiyo shule iwe inafundisha kwa kiswahili! kungekuwa hamna wanaopata B, wote A. Ufaulu ungezidi mbali hao wanaosoma kwa kiingereza.English medium ndio hao hao wanaofundisha waliosoma vyuo vyetu vya ualimu mbona watoto wanatoka wako fit tu.Shule zote za English medium walimu ni watanzania Tena visichana na vivulana vidogo tu vilivyomaliza vyuo vyetu ualimu vya Tanzania.English medium schools Wala hazifundishwi na vibibi na vibabu visivyosaidia enzi za ukoloni wa mwingereza au vilivyomaliza middle school au darasa la kumi la mkoloni mwingereza
Wewe umekaririshwa kuwa elimu bora ni kiingereza. Ndio maana tz itachukuwa miaka mingi sana fikra zetu kuwa huruWalimu wanajua hicho kiingeleza? Walifundishwa kufundisha kiingeleza?
Sent using Jamii Forums mobile app
HATA SAA MBOVU KUNA WAKATI INASEMA UKWELI.Mkuu, naona akili taratibu zinakurudi. Maana ulikuwa either zombie au msukule
Akili kama hii ikiingia 2020 inabidi tulie kilio Cha kusaga meno kwa sababu tutaangamiza taifa letu