Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo.
Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu iliyomwezesha kufika hapo na anaonekana akitoka nje ya ofisi za TFF huku anatabasamu kwa dharau.
Mimi nawashauri Yanga hata akirudi hatokuwa na mzuka ule wa kuachia makombora ya mbali hadi yanamshinda Beno Kakolanya. Mwacheni dogo akatimize ndoto yake kwa kucheza na Chama, Sakho, Ntibazonkiza, yaaani sijui itakuaje siku hiyo.