ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kwenye mkataba wake hakuna kipengele kinacho mrazimisha kufanya hivyo kwa sababu gharama za kuvunja mkataba zimesha wekwa bayana kwenye mkataba sasa ulitaka wakae waongee nn?Shida sio kuvunja mkataba muwe mnaelewa msiwe kama watu wasiojielewa, kwani mkataba unaposainiwa ni baina ya nani na nani? Mmesaini mkataba watu 2 kisha mmoja anakurupuka uko anatangaza amevunja mkataba bila kukaa pande mbili kukubaliana kuuvunja icho kitu ulishakuona dunia gani kwenye mpira?