Viongozi wa Yanga Feitoto ameshageuka adui yenu, achacheni naye

Viongozi wa Yanga Feitoto ameshageuka adui yenu, achacheni naye

Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo.

Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu iliyomwezesha kufika hapo na anaonekana akitoka nje ya ofisi za TFF huku anatabasamu kwa dharau.

Mimi nawashauri Yanga hata akirudi hatokuwa na mzuka ule wa kuachia makombora ya mbali hadi yanamshinda Beno Kakolanya. Mwacheni dogo akatimize ndoto yake kwa kucheza na Chama, Sakho, Ntibazonkiza, yaaani sijui itakuaje siku hiyo.
kwani taratibu za mikataba zipoje?fei afate hizo taratibu aachane na yanga kwa amani.
 
Ww jamaa una uelewa mdogo sana nimesha kwambia kuwa mikataba haifanani na ndio maana hakuwezi kuwa na vurugu, vipengere vilivyoko kwenye mkataba wa fei sio vipengere vilivyoko kwenye mkataba wa kibwana Shomari na ndio maana Kibwana hawezi kufanya kitu alicho kifanya Fei.
Unaelewa miongozo ya fifa kwenye mikataba ya wachezaji?
 
Mimi ni shabiki wa Yanga kwelikweli... Lakini haya yote ni viongozi wetu wa Yanga wanayataka wenyewe na wana uswahili mwingi sana, timu bora haiangaiki na mtu mmoja, kama kweli wana malengo mazuri na timu na sio kumkomoa mchezaji, waingie chimbo watafute mchezaji wa kuziba pengo la Feisal... Hayo mengine ni visasi, viburi, ubabe na tamaa
Unaandika ukiwa mzima au umelewa? Yaani mchezaji anavunja mkataba kinyemela wewe wasema aachwe.vp na kesho mayele akivunja mkataba wake kinyemela itakuwaje?
 
Hata morisson msemo wenu ulikuwa huhuu. Mwisho wa siku mkaangukia pua.

Fei akirudi mtamshangilia tu kama ilivyokuwa kwa Nyionzima na sasa morisson .

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ila hapa sisi ndo huwa tunakuwa na Upumbavu wa kudumu. Akirudi tutaanza tena kumshangilia. Umenikumbusha Nyionzima na Juzi juzi tu Bernad Morrison. Sisi hatuna akili.
 
Unaandika ukiwa mzima au umelewa? Yaani mchezaji anavunja mkataba kinyemela wewe wasema aachwe.vp na kesho mayele akivunja mkataba wake kinyemela itakuwaje?
Hata mayele anaweza kuvunja kama kuna kipengele kama hicho mwacheni kijana akatafute maisha sehemu nyingine..
 
SEMA Mimi naona feitoto haondoke tu yanga haende hajuako yeye Haina haja ya kumbembeleza man u wameweza kumwachia ronaldo sembuse feitoto bwana mdogo wamwache aende engineer hersi angeacha tu deal yake ipite maana itashusha morali wachwzaji wengine ndani ya timu wenye uwezo zaidi yake
 
Yanga ndio inayo tengeneza mpira wa nchi hii, ata iyo Simba ni zao la Yanga. Baadhi ya Mashabiki na baadhi ya wachezaji hawaelewi taratibu za mpira.
Kinacho fanyika ni funzo Kwa baadhi ya wachezaji au viongozi wasiotaka kufuata utaratibu na kufikiri unaweza kuingia mkataba na mtu au taasisi na kuamua kuuvunja Kwa jinsi wewe utakavyo taka.

Yanga asipo lisimamia Ili vilabu vingine havitaweza kukaa na wachezaji maana itaonekana mkataba unaweza Kuvunjwa bila kumshirikisha uliye ingia nae mkataba uo na Kila kitu kikawa sawa.
Uyu aliye mrubuni mchezaji dawa yake inachemka kwakua anafahamika kwasasa aendelee kuficha sura kumbe mwili wote unaonekana.
Nani huyo kwan?
 
Ila hapa sisi ndo huwa tunakuwa na Upumbavu wa kudumu. Akirudi tutaanza tena kumshangilia. Umenikumbusha Nyionzima na Juzi juzi tu Bernad Morrison. Sisi hatuna akili.
Hilo halipingiki hao ndio Utopolo OG.
 
Mawakili walikuwa wanapishana ofice za TFF Kama hawana akili,,dogo kajua kuwaumiza wana yanga
 
Yanga ndio inayo tengeneza mpira wa nchi hii, ata iyo Simba ni zao la Yanga. Baadhi ya Mashabiki na baadhi ya wachezaji hawaelewi taratibu za mpira.
Kinacho fanyika ni funzo Kwa baadhi ya wachezaji au viongozi wasiotaka kufuata utaratibu na kufikiri unaweza kuingia mkataba na mtu au taasisi na kuamua kuuvunja Kwa jinsi wewe utakavyo taka.

Yanga asipo lisimamia Ili vilabu vingine havitaweza kukaa na wachezaji maana itaonekana mkataba unaweza Kuvunjwa bila kumshirikisha uliye ingia nae mkataba uo na Kila kitu kikawa sawa.
Uyu aliye mrubuni mchezaji dawa yake inachemka kwakua anafahamika kwasasa aendelee kuficha sura kumbe mwili wote unaonekana.
Kwenye mkataba kuna kipengele cha kuvunja mkataba. Kama kipo mliweka cha nini kama mchezaji anataka kuvunja mkataba na nyinyi hamtaki? Mchezaji akitaka kuvunja mkataba muite pembeni, shida nini kama hela, muongezee kama atashindwa avunje mkataba.
Katika timu dhaifu na ni utopolo ni Yanga. Mnatokwa na povu kisa mchezaji mmoja utafikiri yeye ndiyo mchezaji pekee Yanga.
Morisson naye mlilia, Faisal naye mnalialia tu.
Ninavyoona kipindi wachezaji wanapomaliza mikataba yao huwa mnawalamba hadi viatu ili wabaki Yanga.
Timu ni Simba, Azam, mtibwa na Big star, mchezaji akiondoka hata hawangaiki naye.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Unaandika ukiwa mzima au umelewa? Yaani mchezaji anavunja mkataba kinyemela wewe wasema aachwe.vp na kesho mayele akivunja mkataba wake kinyemela itakuwaje?
Unahofia Mayele kuondoka? Mayele lazima ataondoka tu wale ni wafanyakazi km wafanyakazi wengine.
Shida ya Yanga waoga sana na pia wanaabudu wachezaji.
Kwa mfano leo hii Mayele avunje mkataba kuna watu pale Yanga watatembea uchi.
Kwenye mkataba kuna kipengele cha kuvunja mkataba. Km mchezaji anaona hapati maslahi yake anavunja mkataba kulingana na sheria za mkataba ulivyo. Hapo hakuna tatizo.
Nakumbuka kipindi cha Morrison shida sana hawa utopolo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Yanga ndio inayo tengeneza mpira wa nchi hii, ata iyo Simba ni zao la Yanga. Baadhi ya Mashabiki na baadhi ya wachezaji hawaelewi taratibu za mpira.
Kinacho fanyika ni funzo Kwa baadhi ya wachezaji au viongozi wasiotaka kufuata utaratibu na kufikiri unaweza kuingia mkataba na mtu au taasisi na kuamua kuuvunja Kwa jinsi wewe utakavyo taka.

Yanga asipo lisimamia Ili vilabu vingine havitaweza kukaa na wachezaji maana itaonekana mkataba unaweza Kuvunjwa bila kumshirikisha uliye ingia nae mkataba uo na Kila kitu kikawa sawa.
Uyu aliye mrubuni mchezaji dawa yake inachemka kwakua anafahamika kwasasa aendelee kuficha sura kumbe mwili wote unaonekana.

Ni mpira pekee mkataba hauwezi kuvunjwa na kama ni kweli iko hivyo, ni mambo ya hovyo sana. Hakuna sehemu makini ambayo unafungwa tu bila kuwa na uwezekano wa kuondoka. Kwa mfano kutumia dirisha dogo kutafuta changamoto kwingine! Hata kama akibaki Yanga huyo Feisal, bado kuna kitu kitakua kinamkereketa na ndivyo binadam tulivyo.
 
Shida sio kuvunja mkataba muwe mnaelewa msiwe kama watu wasiojielewa, kwani mkataba unaposainiwa ni baina ya nani na nani? Mmesaini mkataba watu 2 kisha mmoja anakurupuka uko anatangaza amevunja mkataba bila kukaa pande mbili kukubaliana kuuvunja icho kitu ulishakuona dunia gani kwenye mpira?
 
Unaelewa miongozo ya fifa kwenye mikataba ya wachezaji?
Iweke hiyo miongozo tuione sio bulaabulaa.
Kwani nyinyi yanga hii ni mara ya kwanza kuingia kwenye migogoro ya kimkataba na wachezaji na bado mkienda kwa haohao fifa kushitaki mnashindwa ?

Yanga kubalini kitengo chenu cha sheria kumejaa vilaza kiufupi hamna wanasheria.
 
Back
Top Bottom