Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Yanga ndio inayo tengeneza mpira wa nchi hii, ata iyo Simba ni zao la Yanga. Baadhi ya Mashabiki na baadhi ya wachezaji hawaelewi taratibu za mpira.Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo.
Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu iliyomwezesha kufika hapo na anaonekana akitoka nje ya ofisi za TFF huku anatabasamu kwa dharau.
Mimi nawashauri Yanga hata akirudi hatokuwa na mzuka ule wa kuachia makombora ya mbali hadi yanamshinda Beno Kakolanya. Mwacheni dogo akatimize ndoto yake kwa kucheza na Chama, Sakho, Ntibazonkiza, yaaani sijui itakuaje siku hiyo.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mnajitahidi kupotosha hoja zilizopo mezani kuhusu yanga na feisal, Yanga aiwezi kumzuia feisal kwenda anakokutaka isipokuwa Feisal na wanaomrubuni ndio wanaofanya mambo yawe magumu, Feisal alisaini mkataba mpaka 2024 kwaiyo mnataka yanga imwachie tu feisal kihuni huni ? Wanaomtaka kwa nini wasiende mezani kuongea biashara wauziwe feisal bali wanataka wampate kwa njia haramu! Akuna timu ya kiboya inayoweza kumuachia mchezaji kirahisi rahisi namna iyo kama mnavyofikiria nyie, Rejea kesi ya onyango na simba alipotaka kuvunja mkataba wake akidai apewi nafasi ya kucheza kamati iliamua abaki simba kwakuwa bado ana mkataba halali awezi kuuvunja kwa stahili ile, Sasa feisal awaambie wanaomtaka waende wakatajiwe dau lake walipe aondoke kiroho safi na sio kienyeji kama anavyofikiria kila jambo lina utaratibu wakeLeo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo.
Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu iliyomwezesha kufika hapo na anaonekana akitoka nje ya ofisi za TFF huku anatabasamu kwa dharau.
Mimi nawashauri Yanga hata akirudi hatokuwa na mzuka ule wa kuachia makombora ya mbali hadi yanamshinda Beno Kakolanya. Mwacheni dogo akatimize ndoto yake kwa kucheza na Chama, Sakho, Ntibazonkiza, yaaani sijui itakuaje siku hiyo.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hili ndilo nilionalo, kama amekiuka mkataba sharti atulie bench huku akiendelea kupata nidhamu.Tunamrudisha then anapigwa bench hadi mkataba uishe!
Mtoto mjinga sana yule!Hili ndilo nilionalo, kama amekiuka mkataba sharti atulie bench huku akiendelea kupata nidhamu.
Hee!... na anaonekana akitoka nje ya ofisi za TFF huku anatabasamu kwa dharau.
Kwenye mkataba wake kuna kipengele cha kuvunja mkataba.... Hyo ndio shida... Feisal kashikiria hapo hapo...Mnajitahidi kupotosha hoja zilizopo mezani kuhusu yanga na feisal, Yanga aiwezi kumzuia feisal kwenda anakokutaka isipokuwa Feisal na wanaomrubuni ndio wanaofanya mambo yawe magumu, Feisal alisaini mkataba mpaka 2024 kwaiyo mnataka yanga imwachie tu feisal kihuni huni ? Wanaomtaka kwa nini wasiende mezani kuongea biashara wauziwe feisal bali wanataka wampate kwa njia haramu! Akuna timu ya kiboya inayoweza kumuachia mchezaji kirahisi rahisi namna iyo kama mnavyofikiria nyie, Rejea kesi ya onyango na simba alipotaka kuvunja mkataba wake akidai apewi nafasi ya kucheza kamati iliamua abaki simba kwakuwa bado ana mkataba halali awezi kuuvunja kwa stahili ile, Sasa feisal awaambie wanaomtaka waende wakatajiwe dau lake walipe aondoke kiroho safi na sio kienyeji kama anavyofikiria kila jambo lina utaratibu wake
Na hili ndilo tatizo la wachezaji wetu. Wana vipaji, lakini elimu hawana. Dogo anatakiwa afuate utaratibu. Maana Yanga inajitosheleza, hata asipokuwepo.Mtoto mjinga sana yule!
Amekua kidogo akaota mapembe anasahau kuwa kuna sheria na miiko ya kazi.Mtoto mjinga sana yule!
Utaratibu gani afuate zaidi ya huo alioufuata ulioko kwenye mkataba? Unaosema ukirudisha pesa ya afa ya usajili na mshahara wa miezi 3 hupo huruNa hili ndilo tatizo la wachezaji wetu. Wana vipaji, lakini elimu hawana. Dogo anatakiwa afuate utaratibu. Maana Yanga inajitosheleza, hata asipokuwepo.
Basi sawa. Ngoja tusubiri maamuzi ya mwisho.Utaratibu gani afuate zaidi ya huo alioufuata ulioko kwenye mkataba? Unaosema ukirudisha pesa ya afa ya usajili na mshahara wa miezi 3 hupo huru
Love u [emoji12] yang tuko pmj ukiwa na shida usisite kunichekiNashangaa kwanini uongozi unamng'ang'ania huyo mtoto wamuache aende zake akaue kipaji huko anakotaka kwenda,
Wanampa ukubwa ambao hata hana, wamuache aende YANGA NI CHAMA KUBWA.