Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Sawa inaonekana wewe unazijua sana sheria za Fifa kwenye mikataba ya wachezaji, hivi ingekuwa ivyo unavyofikiria timu zingekuwa zinabaki na wachezaji au ingekuwa ni vurugu tupu kwenye mpiraAcha uongo hakuna sheria kama hiyo alafu unacho takiwa kujua ni kuwa mikataba huwa haifanani ww usidhani vipengere vya mkataba wa chama ni sawa na vipengere vya mkataba wa kanouti au kibu.
Dogo ana wenge yule🤣Sasa kwa mama yake mlikwenda kufanya nini!?
Unaweza share picha ya viongozi wa Yanga wakiwa kwa kina Fei toto? au ushabiki?Sasa kwa mama yake mlikwenda kufanya nini!?
ni kweli tumwacheLeo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo.
Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu iliyomwezesha kufika hapo na anaonekana akitoka nje ya ofisi za TFF huku anatabasamu kwa dharau.
Mimi nawashauri Yanga hata akirudi hatokuwa na mzuka ule wa kuachia makombora ya mbali hadi yanamshinda Beno Kakolanya. Mwacheni dogo akatimize ndoto yake kwa kucheza na Chama, Sakho, Ntibazonkiza, yaaani sijui itakuaje siku hiyo.
Alaaumiwe mwiguli nchemba kitucheleweshea huduma ya huyo dogo hapa ,Simba fc"... ndoto ya kucheza na Chama, Sakho, Ntibazonkiza, .." Kumbe SSc ni kubwa
Tatzo unaweka ushabiki kwenye mambo yasio hitaji ushabiki hivi kama kila mchezaji aibuke anataka kuvunja mkataba huu kwa style ya Feisal mpira utachezwa kweli?Amevunja kwenye dirisha dogo ... Na hyo ipo sana....
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Endelea kufuga ujingaAcha uongo hakuna sheria kama hiyo alafu unacho takiwa kujua ni kuwa mikataba huwa haifanani ww usidhani vipengere vya mkataba wa chama ni sawa na vipengere vya mkataba wa kanouti au kibu.
Wanadhani mkataba wa football ni kama pango la nyumbaSawa inaonekana wewe unazijua sana sheria za Fifa kwenye mikataba ya wachezaji, hivi ingekuwa ivyo unavyofikiria timu zingekuwa zinabaki na wachezaji au ingekuwa ni vurugu tupu kwenye mpira
Wamuache aende zake ,haina haja ya kumng'an'gania.Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo.
Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu iliyomwezesha kufika hapo na anaonekana akitoka nje ya ofisi za TFF huku anatabasamu kwa dharau.
Mimi nawashauri Yanga hata akirudi hatokuwa na mzuka ule wa kuachia makombora ya mbali hadi yanamshinda Beno Kakolanya. Mwacheni dogo akatimize ndoto yake kwa kucheza na Chama, Sakho, Ntibazonkiza, yaaani sijui itakuaje siku hiyo.
Kama kuna kipengele cha release clause... Inawezekana kuvunja.. lakin kama hakuna kipengele hko.... Huwez kuvunja kirahisi... Elewa kwanza kwann timu zinaweka release clause... Ndio utajua mpiraTatzo unaweka ushabiki kwenye mambo yasio hitaji ushabiki hivi kama kila mchezaji aibuke anataka kuvunja mkataba huu kwa style ya Feisal mpira utachezwa kweli?
Akili fupi dunduka haziwezi kuelewa hapaMnajitahidi kupotosha hoja zilizopo mezani kuhusu yanga na feisal, Yanga aiwezi kumzuia feisal kwenda anakokutaka isipokuwa Feisal na wanaomrubuni ndio wanaofanya mambo yawe magumu, Feisal alisaini mkataba mpaka 2024 kwaiyo mnataka yanga imwachie tu feisal kihuni huni ? Wanaomtaka kwa nini wasiende mezani kuongea biashara wauziwe feisal bali wanataka wampate kwa njia haramu! Akuna timu ya kiboya inayoweza kumuachia mchezaji kirahisi rahisi namna iyo kama mnavyofikiria nyie, Rejea kesi ya onyango na simba alipotaka kuvunja mkataba wake akidai apewi nafasi ya kucheza kamati iliamua abaki simba kwakuwa bado ana mkataba halali awezi kuuvunja kwa stahili ile, Sasa feisal awaambie wanaomtaka waende wakatajiwe dau lake walipe aondoke kiroho safi na sio kienyeji kama anavyofikiria kila jambo lina utaratibu
Tatizo lenu mnaangalia kipengele kimoja tu ndo mnatuletea hapa, kwenye huo mkataba wake kuna kipengele kimoja tu basi? Unajua mpaka mchezaji mwenye mkataba aamue kuuvunja anatakiwa kuwe kumetokea nini kwenye mkataba wake na waajiri wake? Kwanza vipengele vya mkataba viwe vimekiukwa ikiwa ni kutolipwa mshahara wake miezi 3 mfululizo, pili kukosa nafasi ya kucheza, tatu kutotimiziwa makubaliano yaliyopo ndani ya mkataba husika, Sasa katika ivyo akuna ata kimoja ambacho ajatekelezewa anavunjaje mkataba kihuni namna iyo? Kama ingekuwa ivyo basi vilabu vyote visingekuwa na wachezaji ina maana mchezaji yoyote angekuwa na uwezo wa kuvunja mkataba muda wowote na kusepa anakoona kunafaa
Ww jamaa una uelewa mdogo sana nimesha kwambia kuwa mikataba haifanani na ndio maana hakuwezi kuwa na vurugu, vipengere vilivyoko kwenye mkataba wa fei sio vipengere vilivyoko kwenye mkataba wa kibwana Shomari na ndio maana Kibwana hawezi kufanya kitu alicho kifanya Fei.Sawa inaonekana wewe unazijua sana sheria za Fifa kwenye mikataba ya wachezaji, hivi ingekuwa ivyo unavyofikiria timu zingekuwa zinabaki na wachezaji au ingekuwa ni vurugu tupu kwenye mpira
Hao uto ndiyo mabingwa wa kuvunja sheriaKinacho fanyika ni funzo Kwa baadhi ya wachezaji au viongozi wasiotaka kufuata utaratibu na kufikiri unaweza kuingia mkataba na mtu au taasisi na kuamua kuuvunja Kwa jinsi wewe utakavyo taka
Mikataba haifanani lakini FIFA wana muongozo ni sawa na sheria ambayo inakeuka katiba automatic ni nullWw jamaa una uelewa mdogo sana nimesha kwambia kuwa mikataba haifanani na ndio maana hakuwezi kuwa na vurugu, vipengere vilivyoko kwenye mkataba wa fei sio vipengere vilivyoko kwenye mkataba wa kibwana Shomari na ndio maana Kibwana hawezi kufanya kitu alicho kifanya Fei.
Kwa hiyo kama kuna hiyo release clause timu aliyo ingia nayo mkataba haitakiwi kujulishwa?Kama kuna kipengele cha release clause... Inawezekana kuvunja.. lakin kama hakuna kipengele hko.... Huwez kuvunja kirahisi... Elewa kwanza kwann timu zinaweka release clause... Ndio utajua mpira
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app