Viongozi wa Yanga Feitoto ameshageuka adui yenu, achacheni naye

kwani taratibu za mikataba zipoje?fei afate hizo taratibu aachane na yanga kwa amani.
 
Unaelewa miongozo ya fifa kwenye mikataba ya wachezaji?
 
Unaandika ukiwa mzima au umelewa? Yaani mchezaji anavunja mkataba kinyemela wewe wasema aachwe.vp na kesho mayele akivunja mkataba wake kinyemela itakuwaje?
 
Hata morisson msemo wenu ulikuwa huhuu. Mwisho wa siku mkaangukia pua.

Fei akirudi mtamshangilia tu kama ilivyokuwa kwa Nyionzima na sasa morisson .

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ila hapa sisi ndo huwa tunakuwa na Upumbavu wa kudumu. Akirudi tutaanza tena kumshangilia. Umenikumbusha Nyionzima na Juzi juzi tu Bernad Morrison. Sisi hatuna akili.
 
Unaandika ukiwa mzima au umelewa? Yaani mchezaji anavunja mkataba kinyemela wewe wasema aachwe.vp na kesho mayele akivunja mkataba wake kinyemela itakuwaje?
Hata mayele anaweza kuvunja kama kuna kipengele kama hicho mwacheni kijana akatafute maisha sehemu nyingine..
 
SEMA Mimi naona feitoto haondoke tu yanga haende hajuako yeye Haina haja ya kumbembeleza man u wameweza kumwachia ronaldo sembuse feitoto bwana mdogo wamwache aende engineer hersi angeacha tu deal yake ipite maana itashusha morali wachwzaji wengine ndani ya timu wenye uwezo zaidi yake
 
Nani huyo kwan?
 
Ila hapa sisi ndo huwa tunakuwa na Upumbavu wa kudumu. Akirudi tutaanza tena kumshangilia. Umenikumbusha Nyionzima na Juzi juzi tu Bernad Morrison. Sisi hatuna akili.
Hilo halipingiki hao ndio Utopolo OG.
 
Mawakili walikuwa wanapishana ofice za TFF Kama hawana akili,,dogo kajua kuwaumiza wana yanga
 
Kwenye mkataba kuna kipengele cha kuvunja mkataba. Kama kipo mliweka cha nini kama mchezaji anataka kuvunja mkataba na nyinyi hamtaki? Mchezaji akitaka kuvunja mkataba muite pembeni, shida nini kama hela, muongezee kama atashindwa avunje mkataba.
Katika timu dhaifu na ni utopolo ni Yanga. Mnatokwa na povu kisa mchezaji mmoja utafikiri yeye ndiyo mchezaji pekee Yanga.
Morisson naye mlilia, Faisal naye mnalialia tu.
Ninavyoona kipindi wachezaji wanapomaliza mikataba yao huwa mnawalamba hadi viatu ili wabaki Yanga.
Timu ni Simba, Azam, mtibwa na Big star, mchezaji akiondoka hata hawangaiki naye.
 
Reactions: Tui
Unaandika ukiwa mzima au umelewa? Yaani mchezaji anavunja mkataba kinyemela wewe wasema aachwe.vp na kesho mayele akivunja mkataba wake kinyemela itakuwaje?
Unahofia Mayele kuondoka? Mayele lazima ataondoka tu wale ni wafanyakazi km wafanyakazi wengine.
Shida ya Yanga waoga sana na pia wanaabudu wachezaji.
Kwa mfano leo hii Mayele avunje mkataba kuna watu pale Yanga watatembea uchi.
Kwenye mkataba kuna kipengele cha kuvunja mkataba. Km mchezaji anaona hapati maslahi yake anavunja mkataba kulingana na sheria za mkataba ulivyo. Hapo hakuna tatizo.
Nakumbuka kipindi cha Morrison shida sana hawa utopolo
 
Reactions: Tui

Ni mpira pekee mkataba hauwezi kuvunjwa na kama ni kweli iko hivyo, ni mambo ya hovyo sana. Hakuna sehemu makini ambayo unafungwa tu bila kuwa na uwezekano wa kuondoka. Kwa mfano kutumia dirisha dogo kutafuta changamoto kwingine! Hata kama akibaki Yanga huyo Feisal, bado kuna kitu kitakua kinamkereketa na ndivyo binadam tulivyo.
 
Shida sio kuvunja mkataba muwe mnaelewa msiwe kama watu wasiojielewa, kwani mkataba unaposainiwa ni baina ya nani na nani? Mmesaini mkataba watu 2 kisha mmoja anakurupuka uko anatangaza amevunja mkataba bila kukaa pande mbili kukubaliana kuuvunja icho kitu ulishakuona dunia gani kwenye mpira?
 
Unaelewa miongozo ya fifa kwenye mikataba ya wachezaji?
Iweke hiyo miongozo tuione sio bulaabulaa.
Kwani nyinyi yanga hii ni mara ya kwanza kuingia kwenye migogoro ya kimkataba na wachezaji na bado mkienda kwa haohao fifa kushitaki mnashindwa ?

Yanga kubalini kitengo chenu cha sheria kumejaa vilaza kiufupi hamna wanasheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…