Shida sio kuvunja mkataba muwe mnaelewa msiwe kama watu wasiojielewa, kwani mkataba unaposainiwa ni baina ya nani na nani? Mmesaini mkataba watu 2 kisha mmoja anakurupuka uko anatangaza amevunja mkataba bila kukaa pande mbili kukubaliana kuuvunja icho kitu ulishakuona dunia gani kwenye mpira?