Viongozi wa Yanga wawe wakweli kuhusu mchezo wa Jumapili

Viongozi wa Yanga wawe wakweli kuhusu mchezo wa Jumapili

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Nimesoma kupitia Saleh Jembe kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa hivi karibuni na ambao ni tegemeo kwa timu hawatacheza kwenye michuano ya Klabu Bingwa siku ya tarehe 12.9.2021.

Sasa kwa nini mlitamba na kutuaminisha kuwa watacheza siku ya Jumapili. Hii ni aibu kubwa kwa timu na inawezekana kuwa mashabiki hawajafahamu taarifa hii.

Timu ikifungwa kwa kweli mtabebeshwa lawama.
 
Kama usajili wa Manara hauna shida Jpili wanashinda kwa Mkapa, kama alivyokua anafanya wakati ule yupo Simba
 
Kazi ipo kwa Yanga na Mwakalebela kama kweli hiyo ishu inaongelewa ina ukweli pana tatizo kubwa sana pale...tena zitakuwepo dalili za upigaji ingawaje vibali vya kucheza nje vinachelewa ila sio kwa wachezaji wengi kiasi hicho ngoja tusubiri kwanza...
 
Sisi tutashuhudia RIVER wa naija walifanya yao maana kitawaka kibanda cha nyasi
Vijana wameokotana huko wanakuja kutafta masoko ya samaki wao dar ..na kucheza na utaputapu

Mimi nipo hapa mstari wa mbele nangoja umoja wa wavuvi wa nigeria wanavotua kama upako pale kwa mkapa hio j.pili

Sjui j'mapelle sjui jesuiii moloko na wenzake wanavoona jahazi linazama wakiwa benchi
 
Watacheza bolingo stejini hao wakongo wao[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom