wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,292
Hapo nilizidisha awakwenda hakina mseveni, kenyatta, kagame, magufuli,....... Ana ushawishi au Hana ushawishi? Ulitaka kusema nini labda ??? ....awakwenda,..... Akwenda!!!! Nini hii?
So wanalipiza?Ni lini Magufuli alienda kwenye misiba ya wenzie?
Yawezekana ni mRUNDI....... Ana ushawishi au Hana ushawishi? Ulitaka kusema nini labda ??? ....awakwenda,..... Akwenda!!!! Nini hii?
Alipizae baya kwa jema uyo ni shetaniSo wanalipiza?
Kama ni sawa yawezekana wakaonekana Lupaso.Ni sawa ila uwepo wao ulikuwa muhimu sana
ni kama mtu anakuchangia harusi halafu haji. mwisho sherehe inakuwa boring
Imemsaidia nini, naye sasa kasema hataki kuwafungia watu ndani maana hakuna anachokifanya zaidi ya kuwatesa wananchi na maambukizi yanaongezeka kila kukicha.Kenyetta jana alisema nchi yake ina fuata demokrasia na haiwezi kuacha kutangaza hali ya korona nchini kwake kwa kuzuia vyombo vya habari kutangaza. Sasa hilo jiwe unadhani lilitupwa wapi?
Tuna jiaibisha kwa vitu vidogo sana..
Baya kwa Jema anakuaje shetani??Alipizae baya kwa jema uyo ni shetani
Rails mgonjwaHuyo mlevi hanipagi shida ina hata RAILA japo sio rais ila huwa anakujaga saana TZ
View attachment 1519402
View attachment 1519420
Hana lolote mlevi tuKenyatta hapendi unafiki,, watanzania wengi tuna unafiki wa kuwango cha juu,,,
Ni sawa ila uwepo wao ulikuwa muhimu sana
ni kama mtu anakuchangia harusi halafu haji. mwisho sherehe inakuwa boring
Sasa wote wasipokuja harusi si inadoda??Kama ni sawa yawezekana wakaonekana Lupaso.
Kuhusu mchango wa harusi anayechanga alafu haji maana yake amekuheshimu kuliko kuonekana akatumia karibu mchango wake na kuacha maharusi hoe hahe.
Okey, Makamu wa Raisi au hata Waziri mkuuRails mgonjwa
Haitoshi kabisa, japo mtu halazimishwi kuja msibani ila huwa ni uungwanaKagame, Museven walitangaza siku tatu za makmbolezo na bendera nusu mlingoti. Sema jingine
Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?
Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?
Nakumbuka alipokufa Moi Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au.
Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe, hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao.
View attachment 1519387
Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
Sawa msomi mimi nipo kwenye Socialization, Korona ni kisingizio kidogo sana. any way hayo ni mawazo yakoWewe kijana achana na uswahili utakuja kufa maskini bure.
Unatumia vigezo vya Buza kwenye masuala ya kimataifa. Umeulizwa lini Magufuli kaenda kuzika unakomaa katuma watu wazito. Haya sasa Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda zimtume rais gani mstaafu. Bado kuna corona wenzetu kina Zambia na wengine wanadai ipo sisi tunadai hakuna hivyo hatupangiani.
Yani unalilia mazishi kama watu wasiosoma.
Raila tangu kipindi kile aseme Magu hapokei simu za wenzake wa E/Africa naona urafiki wake na mkuu uliishia pale.Huyo mlevi hanipagi shida ina hata RAILA japo sio rais ila huwa anakujaga saana TZ
View attachment 1519402
View attachment 1519420
Kufana kwa harusi ni watu mkuu, andaa hapo mapocho pocho watu wasije unajisikiaje!Kama ni sawa yawezekana wakaonekana Lupaso.
Kuhusu mchango wa harusi anayechanga alafu haji maana yake amekuheshimu kuliko kuonekana akatumia karibu mchango wake na kuacha maharusi hoe hahe.
Takwimu?Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.
Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.