Naona mpk wale tunaowafikiria ni marafiki/ndg zetu wa damu SADC naona hawajahudhuria.Baba mwenye nyumba hakutembelei halafu wewe umtembelee kwa sababu mwanae huwa anakuja nyumbani kwako? Halafu wewe ungekuwa mzee kama Museveni ungetembelea nchi ambayo takwimu zake za corona hazijulikani?
Alitumwa mkuu wa Senate ya Kenya bwn Samuel Laurien Pughisio lkn ndege yake imepata hitilafu wakati anakuja Dar hivyo wamerudi Nairobi....Okey, Makamu wa Raisi au hata Waziri mkuu
Baba mwenye nyumba hakutembelei halafu wewe umtembelee kwa sababu mwanae huwa anakuja nyumbani kwako? Halafu wewe ungekuwa mzee kama Museveni ungetembelea nchi ambayo takwimu zake za corona hazijulikani?
Usiwe mpumbavu dogo!Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.
Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
Hii noma sana.Magufuli uwa anatuma wawakilishi na yeye anatumiwa wawakilishi. Kuna shida hapo?
Naona mpk wale tunaowafikiria ni marafiki/ndg zetu wa damu SADC naona hawajahudhuria.
Usiwe mpumbavu dogo!
Kweli kabisa mkuuHaitoshi kabisa, japo mtu halazimishwi kuja msibani ila huwa ni uungwana
Takwimu zetu za korona haziwahusuBaba mwenye nyumba hakutembelei halafu wewe umtembelee kwa sababu mwanae huwa anakuja nyumbani kwako? Halafu wewe ungekuwa mzee kama Museveni ungetembelea nchi ambayo takwimu zake za corona hazijulikani?
Bendera kupepea nusu mliongoti ni swala ambalo ni la makubaliano ya EAC na lipo kwenye muongozo. Uwe unafuatilia mambo kabla hujaandika.Usiwe mpumbavu dogo!
Nchini Kenya bendera zinapepea nusu mlingoti, Uganda, Rwanda Drc, Burundi nako hivo hivo nchi zote hizo zilitangaza siku 3 za maombolezo! Je kuna kushiriki zaidi ya huko?
Pamoja na hayo, kuna kiongozi gani wa nchi umeona anasafari kipindi hiki?
Kwa wajinga kama nyie mnafikiri ni sifa kwake!Kenyetta jana alisema nchi yake ina fuata demokrasia na haiwezi kuacha kutangaza hali ya korona nchini kwake kwa kuzuia vyombo vya habari kutangaza. Sasa hilo jiwe unadhani lilitupwa wapi?
Tuna jiaibisha kwa vitu vidogo sana..
Ulimuona nani anasafiri kwenda huko wanakofuata protocol?Nchi haifuati protocol za Corona kulingana na maagizo ya WHO, sasa nani amlete kiongozi wake ili aje apambane na COVID bana!! Sasa hivi hatuna record yoyote ile...tupo tupo tu.
Kwahiyo wewe unahisi ni nini?so cheap mind
Hii inahusiana na msiba mzee baba?Taifa la TANZANIA ndio masterminds ya mataifa yote ya East Africa na NCHI zinazopakana naxo pia na baadhi ya mataifa ya kusini mwa Africa sema kuna miaka tulijisahau hawa tegemezi wakaanza kujitafutia sasa wamepata hela ya kula wameanza kiburi Ila kwa habari njema tuu na nikutoe wasiwasi miaka si mingi Taifa la TANZANIA linarudi kwenye nafasi yake kikubwa tuongeze ubunifu na juhudi katika kazi zetu saiz ukienda Namanga Sirali Tarakea Loitok-tok na Horohoro utashuhudia mengi makubwa
Corona is real mkuu. Hizo nchi ulizozitaja Covid19 bado inasumbua.Haitoshi kabisa, japo mtu halazimishwi kuja msibani ila huwa ni uungwana
Madharau tu na sio kingineKwahiyo wewe unahisi ni nini?
Aarh hio noma hopefully mambo ya Corona ndio yamefanya wasije lkn ikiwa ni mambo ya mzee baba hawatembelei na wao wakalipa kisasi then kidiplomasia kuna cha kurekebisha hapo.Ukijitenga unatengwa. Simple! Hata vijijini huko kama kuna mwanakijiji ambaye haudhurii misiba ya wenzie, siku ukitokea kwake huwa anaachiwa. Anaachiwa kweli. Hata kuchimba kaburi, anaachiwa.