Viongozi wakuu wa vyama visivyo vya ukombozi waliodumu muda mrefu zaidi madarakani

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana.
1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba.
2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore.
3.Viktor Orban-Miaka 28, Fidesz, Hungary
4.Rodolfo Llopis Ferrándiz- Miaka 28, Spanish Socialist Workers' Party, Hispania.
5. Mao Zedong- Miaka 27, CCP, China.
6. Helmut Kohl- Miaka 25, Christian Democratic Union(CDU), Ujerumani.
7. Benjamin Netanyahu- Miaka 24, Likud, Israel.
8. Recep Tayyip Erdoğan- Miaka 23, AKP, Uturuki.
9. Clement Atllee- Miaka 20, Labour Party, Uingereza.
10. Konrad Adenauer- Miaka 20, CDU
11.Angel Merkel- Miaka 19, CDU, Ujerumani
12. Hakainde Hichilema- Miaka 18, UPND, Zambia.
 
Tundu Lissu kama ana akili aangalie trend ya waanzisha nyuzi za kumtetea Mbowe..

Baada ya hapo ajiongeze..

Na lazima ajue, hiyo ndiyo sababu watanzania wengi hawakiamini hicho chama...

Lissu akitaka kufikia mafanikio ya juu, aanzishe chama chake au ahamie chama kisichokuwa na makandokando ya ukabila...
 
Wapi kwenye huu uzi Mbowe ametajwa??
 
Watanzania hawahitaji utaratibu wa kupozekana uongozi wa Chama Ili waendelee, Bali wanahotaji Kiongozi mahiri mwenye kujua na kusimamia Maslahi ya Taifa Ili waendelee.

I mean, mabadiliko ya uongozi ndani ya Chama chochote hayawezi kumsaidia Mtanzania, Bali kiongozi mwenye kujua watanzania wanataka Nini, na akawaeleza atawafikisha je huko.?
 
Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana.
1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba.
2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore.
3. Mao Zedong- Miaka 27, CCP, China.
4. Helmut Kohl- Miaka 25, Christian Democratic Union(CDU), Ujerumani.
5. Benjamin Netanyahu- Miaka 24, Likud, Israel.
6. Recep Tayyip Erdoğan- Miaka 23, AKP, Uturuki.
7. Clement Atllee- Miaka 20, Labour Party, Uingereza.
8. Konrad Adenauer- Miaka 20, CDU
9.Angel Merkel- Miaka 19, CDU, Ujerumani
10. Hakainde Hichilema- Miaka 18, UPND, Zambia.
Chadema siyo chama Cha ukombozi lakini Mwenyekiti wake Mzee Mbowe keshatwanga miaka 30 na anataka ifike miaka 50.

Hivi huyu mchaga ana akili kweli?
 
mean, mabadiliko ya uongozi ndani ya Chama chochote hayawezi kumsaidia Mtanzania, Bali kiongozi mwenye kujua watanzania wanataka Nini, na akawaeleza atawafikisha je huko.?
Shehe au padre anayekemea uzinzi huku yeye anafanya hadharani...

Unahisi waumini watakaofuata mafundisho yake watakua sawa kichwani?
 
I mean, mabadiliko ya uongozi ndani ya Chama chochote hayawezi kumsaidia Mtanzania, Bali kiongozi mwenye kujua watanzania wanataka Nini, na akawaeleza atawafikisha je huko.?
Usitetee udikteta
 
Chadema siyo chama Cha ukombozi lakini Mwenyekiti wake Mzee Mbowe keshatwanga miaka 30 na anataka ifike miaka 50.

Hivi huyu mchaga ana akili kweli?
Alianza kuwa mwenyekiti mwaka gani?
 
Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana.
1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba.
2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore.
3. Mao Zedong- Miaka 27, CCP, China.
4. Helmut Kohl- Miaka 25, Christian Democratic Union(CDU), Ujerumani.
5. Benjamin Netanyahu- Miaka 24, Likud, Israel.
6. Recep Tayyip Erdoğan- Miaka 23, AKP, Uturuki.
7. Clement Atllee- Miaka 20, Labour Party, Uingereza.
8. Konrad Adenauer- Miaka 20, CDU
9.Angel Merkel- Miaka 19, CDU, Ujerumani
10. Hakainde Hichilema- Miaka 18, UPND, Zambia.
Lipumba miaka 31
 
Watanzania hawahitaji utaratibu wa kupozekana uongozi wa Chama Ili waendelee, Bali wanahotaji Kiongozi mahiri mwenye kujua na kusimamia Maslahi ya Taifa Ili waendelee.

I mean, mabadiliko ya uongozi ndani ya Chama chochote hayawezi kumsaidia Mtanzania, Bali kiongozi mwenye kujua watanzania wanataka Nini, na akawaeleza atawafikisha je huko.?
Kiongozi mwenye kufuata sheria na katiba
 
Mtu anaweza kuwa dikteta hata ndani ya chama tu. Ktk kuelezea maana ya neno dikteta hakuna neno dola
Katika kuelezea maana ya neno dikteta lazima ugusie neno government/serikali, huwezi kuwa na serikali bila vyombo vya dola. Huwezi kuwa dikteta kama huna polisi na jeshi kufanikisha udikteta wako.
 
Chadema siyo chama Cha ukombozi lakini Mwenyekiti wake Mzee Mbowe keshatwanga miaka 30 na anataka ifike miaka 50.

Hivi huyu mchaga ana akili kweli?
Alianza kua mwenyekiti mwaka gani?
 
Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana.
1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba.
2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore.
3. Mao Zedong- Miaka 27, CCP, China.
4. Helmut Kohl- Miaka 25, Christian Democratic Union(CDU), Ujerumani.
5. Benjamin Netanyahu- Miaka 24, Likud, Israel.
6. Recep Tayyip Erdoğan- Miaka 23, AKP, Uturuki.
7. Clement Atllee- Miaka 20, Labour Party, Uingereza.
8. Konrad Adenauer- Miaka 20, CDU
9.Angel Merkel- Miaka 19, CDU, Ujerumani
10. Hakainde Hichilema- Miaka 18, UPND, Zambia.
11. Freeman Aikaeli Mbowe - Miaka 50+🤣🤣🤣🤣 Chadema Tanzania
 
Back
Top Bottom