Viongozi wakuu wa vyama visivyo vya ukombozi waliodumu muda mrefu zaidi madarakani

Viongozi wakuu wa vyama visivyo vya ukombozi waliodumu muda mrefu zaidi madarakani

12. Hakainde Hichilema- Miaka 18, UPND, Zambia.

Kwanza, hakuna Vyama vya ukombozi Ulaya .. Pili, Castro wa Cuba ni kiongozi wa chama cha Ukombozi .... Tatu, huyo Hichilema kaanza kuongoza juzi tu, leo amefikishaje miaka 18 ...!!? Kama unazungumzia madarakani kwenye chama that's is ok .... ila usiwasahau Cheyo mzee wa Mapesa, Mrema (RIP), Mtikila (RIP) .....
 
Nazungumzia uongozi madarakani kwenye chama.
Pia chama cha Castro sio cha ukombozi, ni chama kilichopindua serikali iliyokuwa ya Cuba. Cuba ilipata uhuru mwaka 1898 wakati mapinduzi ya Castro yalifanyika 1959 miaka 60 baadaye.
 
Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana.
1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba.
2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore.
3.Viktor Orban-Miaka 28, Fidesz, Hungary
4.Rodolfo Llopis Ferrándiz- Miaka 28, Spanish Socialist Workers' Party, Hispania.
5. Mao Zedong- Miaka 27, CCP, China.
6. Helmut Kohl- Miaka 25, Christian Democratic Union(CDU), Ujerumani.
7. Benjamin Netanyahu- Miaka 24, Likud, Israel.
8. Recep Tayyip Erdoğan- Miaka 23, AKP, Uturuki.
9. Clement Atllee- Miaka 20, Labour Party, Uingereza.
10. Konrad Adenauer- Miaka 20, CDU
11.Angel Merkel- Miaka 19, CDU, Ujerumani
12. Hakainde Hichilema- Miaka 18, UPND, Zambia.
Visivyo vya ukombozi ? fafanua ukombozi unao uzungumzia
 
Back
Top Bottom