Viongozi wakuu wa vyama visivyo vya ukombozi waliodumu muda mrefu zaidi madarakani

12. Hakainde Hichilema- Miaka 18, UPND, Zambia.

Kwanza, hakuna Vyama vya ukombozi Ulaya .. Pili, Castro wa Cuba ni kiongozi wa chama cha Ukombozi .... Tatu, huyo Hichilema kaanza kuongoza juzi tu, leo amefikishaje miaka 18 ...!!? Kama unazungumzia madarakani kwenye chama that's is ok .... ila usiwasahau Cheyo mzee wa Mapesa, Mrema (RIP), Mtikila (RIP) .....
 
Nazungumzia uongozi madarakani kwenye chama.
Pia chama cha Castro sio cha ukombozi, ni chama kilichopindua serikali iliyokuwa ya Cuba. Cuba ilipata uhuru mwaka 1898 wakati mapinduzi ya Castro yalifanyika 1959 miaka 60 baadaye.
 
Visivyo vya ukombozi ? fafanua ukombozi unao uzungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…