Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

Kuna mmoja alikuwa na ulinzi wa kila aina mpaka wazee wa ghamboshi, lakini zirael alipoamua kumchukua ulinzi haukusaidia kitu
 
Mgonjwa anapoumwa na kuwa jeuri ya kutotaka kwenda kwenye matibabu stahiki kwa muda muafaka matokeo yake huwa ndiyo haya!!
Hata hivyo ni pumzi kubwa kwa mama Tanzania.
 
Muamar Gaddafi alitetea saana tu maslahi ya Libya na akatawala miongo kadhaa. Kajipange upya na utafiti wako wakizembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…