Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

Madhara ya kutumia makalio kufikiri.
Chukua hiyo zawadi yako toka afe mwendazake haujapata basha muda mrefu sana
tapatalk_1576166751572.jpeg
 
Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.

Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za waafrika huwa wanataka kumuua na kummaliza kiongozi yoyote anayelinda na kutetea mali za Waafrica.
Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!

Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.
Kwa hiyo Anko Magu naye aliuliwa? Raslimali yenyewe uwezo wa kuvuna hatuna mpaka mzungu

Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!

Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.
[/QUOTE]
 
Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.

Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za waafrika huwa wanataka kumuua na kummaliza kiongozi yoyote anayelinda na kutetea mali za Waafrica.

Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!

Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.
Hujamaliza kuwataja mkuu 🤣🤣🤣, BTW Nyerere alikua mzalendo wa kweli wala hapajawahi kua na mzalendo kama mwalimu, lkn aliishi miaka mingi c haba. NB malizia kuwataja🤣🤣
 
Kuhusu fisadi jiwe soma hapa hajawahi kutetea rasilimali za watanzania zaidi ya kujinufaisha yeye na genge lake View attachment 1775425
Kwenye stand ya bus mbezi hapo napinga. Ile stand kwanza ina service roads na stand iko mbali kidogo na main road - Morogoro. Kwani yeye CAG alitakaje? Mbona hakuwahi basi ku comment stand ya mabasi ilivyokuwa Ubungo? Na pale ubungo ndo hali ya foreni ilikuwa balaaaa. Why did he keep silent without any comment. Hapo tu ndo nashindwa kumuelewa CAG. Alitaka stand ya mabasi ijengwe wapi ili kusiwe na foreni. Mkaguzi mzuri niyule anayetoa solution ya kitu sio ku list matatizo tu alafu unatuachia tuhangaike nayo. That is not fair at all.
 
Kwa ujinga mnaoweweseka nao muda si mrefu mtamkufuru Mungu.wamekufa mitume na manabii sembuse hao watu wako unaotaka kutuaminisha kwamba ni wema sana..kwani uliambiwa wataishi miaka mingapi.kila nafsi itaonja mauti kwa wakati wake haijalishi ulikua nani duniani.acha kifafa ndugu.
 
Nyerere alitetea kwa nguvu zake zote aliishi miaka mingapi?
Bandiko lako halina mashiko kwani kuondka duniani kuna sababu nyingi.Mtu ana underlying disease kwa maiak kumi na tano akifa inahusishwa na kulinda rasilimali.
Kazi na iendelee na Maisha yanaendelea!
UKIMWI + Bipolar + Diabetes + Hypertension + COVID 19= HUTOBOI NG'O
 
Kwenye stand ya bus mbezi hapo napinga. Ile stand kwanza ina service roads na stand iko mbali kidogo na main road - Morogoro. Kwani yeye CAG alitakaje? Mbona hakuwahi basi ku comment stand ya mabasi ilivyokuwa Ubungo? Na pale ubungo ndo hali ya foreni ilikuwa balaaaa. Why did he keep silent without any comment. Hapo tu ndo nashindwa kumuelewa CAG. Alitaka stand ya mabasi ijengwe wapi ili kusiwe na foreni. Mkaguzi mzuri niyule anayetoa solution ya kitu sio ku list matatizo tu alafu unatuachia tuhangaike nayo. That is not fair at all.
Unampa maelezo mazuri, huyu fala atakuelewa?
 
Una uhakika alitawala bila bugudha?
Uliona nchi yetu ikipata uhuru kwa mtutu wa bunduki???Falsafa za Nyerere zilieleweka na kila mtu mpaka mataifa jirani vyama vya siasa wakiiga TANU ya Nyerere mfano.Kenya - KANU,Zimbabwe -ZANU PF,Msumbiji - MANU.
 
Una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom