Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

Hivi ndugu unajua Nyerere alikoswakoswa kupinduliwa mara ngapi
Lakini alizeeka maana Mungu alimlinda kwa matendo yake kwa hiyo ilikuwa ni ngumu adui kumfanyia vibaya kwani malaika wa Mungu walimlinda kwa kutimiza amri ya upendo.
 
Ongea yote lakini rais wetu hakuwepo kwenye kundi la hao viongozi waliokufa wakitetea mema ya nchi
 
Una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Rafiki yangu tumia akili hiyo post yako ni ya kijinga rejea Vitabu vya Waamuzi,Wafalme na Mambo ya Nyakati katika Biblia uone jinsi Mungu alivyokuwa anafupisha utawala wa watu dhalimu dhalimu na kurfusha maisha ya tawala za watu waliompendeza Mungu kwa kutii sheria za Mungu na utawala bora.
 
Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.

Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za waafrika huwa wanataka kumuua na kummaliza kiongozi yoyote anayelinda na kutetea mali za Waafrica.

Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!

Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.

Kulinda rasilimali za taifa maana yake ni kupeleka maendeleo Chato 😷
 
Hawawezi kudumu maana wanabania upigaji wa wazungu.
Si unajua Africa ndo imesalia maana ASIA na America kusini huwezi kwapua utajiri kama wafanyavyo Africa.
So ukiweka kauzibe lazima wakuweke kando ili maisha yasonge wasije kufa njaa.
Kumbuka umaskini wa Africa ndo utajiri wa Ulaya
 
Watu wanatumia rasilimali walizonazo kujenga nchi na Wananchi wao wanafurahia maisha nyie mnalinda tu rasilimali kijinga. Mkiambiwa leteni mswaada bungeni mtunge sheria nzuri za kulinda rasilimali zetu hamtaki, tuweke katiba imari hamtaki, mkiingia mikataba iwekeni wazi ili waelewa wa Mambo washauri hamtaki, tujadili vipaombele vya nchi kwa pamoja hamtaki. Nashukuru Mungu alitusaidia angalao tuanze moja hapo huwa siamini kiongozi yoyote hata awe nani kama bado yoyote kwa chama cha mboga. N yaleyale tu
 
Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.

Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za waafrika huwa wanataka kumuua na kummaliza kiongozi yoyote anayelinda na kutetea mali za Waafrica.

Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!

Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.
Poleni sana. Mungu ndiye hupanga maisha ya mwanadamu.

Kazi na Iendelee.
 
Yanakuja kupima upepo
Tena kinyongee sana. TAGA likitupia uzi linasikilizia, matokeo likishaona maji marefu linaishia. Mtu kishaitwa mwendazake, sijui stori zake wanaziendeleza za nini. Sasahivi kinasomwa kitabu kingine.
 
Kuna timu inajitahidi Sana kutuaminisha kwamba lile shetani linaloungua huko motoni jehanam lilikuwa malaika, nadha haya ni yale mamisukule yaliyoporwa ubongo yakaachiwa matikiti.
 
Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.

Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za waafrika huwa wanataka kumuua na kummaliza kiongozi yoyote anayelinda na kutetea mali za Waafrica.

Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!

Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.
Ni mashaka mahangaiko.....,wema hawana maishaaaaa!
 
Kenneth Kaunda ailikuwa fisadi?
Robert Mugabe alikuwa fisadi?
Julius Nyerere alikuwa fisadi?

Mkuu usipotoshe, Thomas Sankara aliuwawa na rafiki yake Blaise Compaure kwa tamaa ya madaraka
 
Ulitaka aendelee kuua, kufunga na kupoteza watu? angempoteza dingi ako usigeleta huu upupu hapa, sisi tuna mshukuru MUNGU kwa kutoondolea hii balaa
Wewe umempoteza nani?
 
Back
Top Bottom