Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.

Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za waafrika huwa wanataka kumuua na kummaliza kiongozi yoyote anayelinda na kutetea mali za Waafrica.

Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!

Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.
Mtu amehi na mashine ya mooyo zaidi ya miaka kumi huoni Mungu alimpenda sana na vile aliomba akawe kiranja wwa malaikka kaitwa apewe hiyo post asipoteze muda duniani
 
Na wewe unalinda na kutetea mali za nani? Na urefu wa maisha yako ukoje?

Mataga mnahangaika sana
 
Kwenye stand ya bus mbezi hapo napinga. Ile stand kwanza ina service roads na stand iko mbali kidogo na main road - Morogoro. Kwani yeye CAG alitakaje? Mbona hakuwahi basi ku comment stand ya mabasi ilivyokuwa Ubungo? Na pale ubungo ndo hali ya foreni ilikuwa balaaaa. Why did he keep silent without any comment. Hapo tu ndo nashindwa kumuelewa CAG. Alitaka stand ya mabasi ijengwe wapi ili kusiwe na foreni. Mkaguzi mzuri niyule anayetoa solution ya kitu sio ku list matatizo tu alafu unatuachia tuhangaike nayo. That is not fair at all.
Haya wewe bisha lakini hiyo report ni ya CAG
 
Tena kinyongee sana. TAGA likitupia uzi linasikilizia, matokeo likishaona maji marefu linaishia. Mtu kishaitwa mwendazake, sijui stori zake wanaziendeleza za nini. Sasahivi kinasomwa kitabu kingine.
Hawaamini kama jiwe amekufa
 
Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.

Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za waafrika huwa wanataka kumuua na kummaliza kiongozi yoyote anayelinda na kutetea mali za Waafrica.

Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!

Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.
Umeandika pumba mazee.
Hawa ndugu zetu waliopotea na mpaka leo hatujui tuweke matanga ama tuvute subira, nao walikuwa waporaji wa mali za umma ama mawakala wa mabeberu kama mnavyoaminisha watu?
 
Nyerere alitetea kwa nguvu zake zote aliishi miaka mingapi?
Bandiko lako halina mashiko kwani kuondka duniani kuna sababu nyingi.Mtu ana underlying disease kwa maiak kumi na tano akifa inahusishwa na kulinda rasilimali.
Kazi na iendelee na Maisha yanaendelea!
Wale wote waliokuwa wanufaika wa mifumo ya unyang'aji wa kidola toka kwa msukuma ndio hao wanazidi kutapika nyongo!.Kilichobaki watulize mishono tu,maana mtu wao alie
 
Back
Top Bottom