WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Lakini alizeeka maana Mungu alimlinda kwa matendo yake kwa hiyo ilikuwa ni ngumu adui kumfanyia vibaya kwani malaika wa Mungu walimlinda kwa kutimiza amri ya upendo.Hivi ndugu unajua Nyerere alikoswakoswa kupinduliwa mara ngapi
Rafiki yangu tumia akili hiyo post yako ni ya kijinga rejea Vitabu vya Waamuzi,Wafalme na Mambo ya Nyakati katika Biblia uone jinsi Mungu alivyokuwa anafupisha utawala wa watu dhalimu dhalimu na kurfusha maisha ya tawala za watu waliompendeza Mungu kwa kutii sheria za Mungu na utawala bora.Una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Fact.Ongea yote lakini rais wetu hakuwepo kwenye kundi la hao viongozi waliokufa wakitetea mema ya nchi
kwa hiyo Mungu hakumlinda mwingine akamuacha aondoke.Mkuu mbona unakuwa mtu usie na uwezo wa kudadavua mambo? Mungu alimlinda tu Nyerere ila wazungu walikuwa hawampendi.
Soma bandiko uelewe. Kama huelewi kaa kimya fala wewe.kwa hiyo Mungu hakumlinda mwingine akamuacha aondoke.
au Mungu wa nyerere ni wa tofauti ?
Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.
Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za waafrika huwa wanataka kumuua na kummaliza kiongozi yoyote anayelinda na kutetea mali za Waafrica.
Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!
Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.
Madhara ya kufikiri kwa makalio.Kulinda rasilimali za taifa maana yake ni kupeleka maendeleo Chato 😷
hilo povu kadeki nalo mochwari. huna hoja yenye mashiko fufu ww.Soma bandiko uelewe. Kama huelewi kaa kimya fala wewe.
Fala wewe jikatae.hilo povu kadeki nalo mochwari. huna hoja yenye mashiko fufu ww.
statisticaly wako viongoz walitetea wananchi na wakaish mpaka 99yrs.
tafuta kwanza
Poleni sana. Mungu ndiye hupanga maisha ya mwanadamu.Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.
Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za waafrika huwa wanataka kumuua na kummaliza kiongozi yoyote anayelinda na kutetea mali za Waafrica.
Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!
Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.
Tena kinyongee sana. TAGA likitupia uzi linasikilizia, matokeo likishaona maji marefu linaishia. Mtu kishaitwa mwendazake, sijui stori zake wanaziendeleza za nini. Sasahivi kinasomwa kitabu kingine.Yanakuja kupima upepo
Wewe mjinga Baba ako shenzi kabisa weweUkiwa jingajinga kama mbowe na Lisu unadunda tu
Ni mashaka mahangaiko.....,wema hawana maishaaaaa!Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.
Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za waafrika huwa wanataka kumuua na kummaliza kiongozi yoyote anayelinda na kutetea mali za Waafrica.
Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!
Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.
Wewe umempoteza nani?Ulitaka aendelee kuua, kufunga na kupoteza watu? angempoteza dingi ako usigeleta huu upupu hapa, sisi tuna mshukuru MUNGU kwa kutoondolea hii balaa
ghadafiFidel Castro aliitetea sana Cuba na aliishi mpaka miaka 99