Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

Mtu amehi na mashine ya mooyo zaidi ya miaka kumi huoni Mungu alimpenda sana na vile aliomba akawe kiranja wwa malaikka kaitwa apewe hiyo post asipoteze muda duniani
 
Na wewe unalinda na kutetea mali za nani? Na urefu wa maisha yako ukoje?

Mataga mnahangaika sana
 
Haya wewe bisha lakini hiyo report ni ya CAG
 
Tena kinyongee sana. TAGA likitupia uzi linasikilizia, matokeo likishaona maji marefu linaishia. Mtu kishaitwa mwendazake, sijui stori zake wanaziendeleza za nini. Sasahivi kinasomwa kitabu kingine.
Hawaamini kama jiwe amekufa
 
Umeandika pumba mazee.
Hawa ndugu zetu waliopotea na mpaka leo hatujui tuweke matanga ama tuvute subira, nao walikuwa waporaji wa mali za umma ama mawakala wa mabeberu kama mnavyoaminisha watu?
 
Wale wote waliokuwa wanufaika wa mifumo ya unyang'aji wa kidola toka kwa msukuma ndio hao wanazidi kutapika nyongo!.Kilichobaki watulize mishono tu,maana mtu wao alie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…