Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

Mkuu IQ ni ile hali ya kupambanua mambo kwa uharaka na kutoa majawabu yaliyo sahihi. Wanapo pima IQ wanaangalia mambo mengi ila kubwa sana ni uwezo wa kufikiri. Zipo IQ test ambazo huwa na maswali mchanganyiko.
Asante mkuu

Hayo maswali yanapatikana wapi na Mimi nipime kiwango cha IQ nilicho nacho..........

Hao tunao aminishwa wenye IQ kubwa wako ni wale wenye majina makubwa

Naamini Kuna kaka na Dada zangu huku kiabakali wana IQ kubwa sema hawapo kwenye spotlight
 
Mkuu ebu the tuletee na list ya viongozi wenye IQ ndogo kabisa , haswa haswa viongozi wa nyumbani tz. Naamini yule mfoji vyeti ndio atakuwa anaongoza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mkuu naiandaa
 
Kwahiyo Marekani ndio wanaongoza kuwa na IQ kubwa? I lov Afrika yaana hata mia bora hatutakuwepo.
 
Kwa hiyo Africa kwetu hakuna akilieee ndo maana sipendagi ngozi nyeupe !
 
Mtukufu rais wetu mwenye PhD kama hayupo kwenye hii list basi ni fake na atakutumbua
 
Yaani iwe ni Amrica tu ndiyo wanaongoza kwa IQ?
 
wamarekani bhana.... kila kitu wanajipanga wao tuu....eti hiyo top 10 yao kuna wamarekani 6 wa hiyo highest level ya IQ......
waliobaki ndio dunia nyingine...!!..na sijajua kwa ini isac newton hajatokea hapo.....
 
Hawa wamependelea hata mmoja hakuna Afrika, hatari.
 
Tundu Lisu hayupo jaman???????[emoji274][emoji274][emoji275][emoji275]
 
Yaani hakuna putin ambaye ameirudisha collapsed russia, hakuna Lenin, hakuna Castro ambaye amehepa assasinatio atrempts zaidi ya 600, hakuna Mao wa china aliyejenga china imara, Hakuna nyerere, hii ni nonesense.
 
Zipo site ambazo zina offer IQ test. Waweza google na kujaribu. Japo sometimes zaweza kuwa bias pia.
 
Yaani hakuna putin ambaye ameirudisha collapsed russia, hakuna Lenin, hakuna Castro ambaye amehepa assasinatio atrempts zaidi ya 600, hakuna Mao wa china aliyejenga china imara, Hakuna nyerere, hii ni nonesense.
 
Yaani hakuna putin ambaye ameirudisha collapsed russia, hakuna Lenin, hakuna Castro ambaye amehepa assasinatio atrempts zaidi ya 600, hakuna Mao wa china aliyejenga china imara, Hakuna nyerere, hii ni nonesense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…