Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Kanisa la mitume 😂😂😂 CCM ni tatizo lingine, wasukuma saivi kimyaaa baada ya kahadaiwa na yule vice PM, TEC ni suala la muda kuunga mkono juhudi za chama cha mapinduzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho Karatu, mara njombe mara Kigoma.....mtamaliza majimbo yoote ya Katoliki?Viongozi kuwa na madhehebu Yao ni sawa ila msimamo wa madhehebu Yao haupaswi kuwa msimamo wa Nchi.
Ukiwa na madaraka kwenye Nchi hipaswi kuleta mambo ya madhehebu yenu.
Upuuzi wa hivi ukome maana unaweza kuja kuleta shida baadae
Ndio Maana dpw wamekula nduki? Basi Tec ni li mnyama likubwa sanaKanisa la mitume 😂😂😂 CCM ni tatizo lingine, wasukuma saivi kimyaaa baada ya kahadaiwa na yule vice PM, TEC ni suala la muda kuunga mkono juhudi za chama cha mapinduzi
Ndio umeongea nini nduguKesho Karatu, mara njombe mara Kigoma.....mtamaliza majimbo yoote ya Katoliki?
Pambaneni na ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Hizo bla bla kila mtu anazijua.
Simamieni sheria na katiba ya Nchi ...acheni kujikomba kw amashekhe, mapadre na manabii uchwara.Isimamie na Wala hakuna mtu amekataza wao kusimamia na nakereka na kujipendekeza Kwa viongozi wa Serikali.
Serikali nayo inatakiwa kusimamia na inachokiamini,hii Nchi haiongizwi na TEC
😂 😂 😂 😂Hata Mimi naunga mkono,kwani lazima Kila kitu hao TEC waunge mkono? Ni upuuzi kutokubalia kukubaliana na itakuwa Haina maana Sasa ya kuwa na Taifa.
Maendeleo huletwa katikati ya mgongano wa fikra,TEC na RC hawaendeshi hii Nchi ni mambo ya kipuuzi kuwaza hivyo na inajenga mbegu ya chuki kw watu wa madhehebu na dini zingine.
Inakera sana.
Kama hujaelwa alichokiandika, basi jichunguze..!!Ndio umeongea nini ndugu
Kujipendekeza hakusaidii Ccm kurudi madarakani.....tayari mna tume isiyo huru na organs zote za kusaidia 2025 mshinde.Ndio umeongea nini ndugu
Ndio maana nimeungana na mtoa mada na Mimi hii tabia inanikera,kwani lazima watu wafabane maoni? Kwamba Waumini wa RC ni wapuuzi kiasi kwamba Kila wanachoambiwa na TEC lazima.wafuate?Kujipendekeza hakusaidii Ccm kurudi madarakani.....tayari mna tume isiyo huru na organs zote za kusaidia 2025 mshinde.
Hizo sarakasi mnapoteza muda na fedha tu
🗑️🗑️Kama hujaelwa alichokiandika, basi jichunguze..!!
Hakuna hatamu iliyoshika,aliyepambana vyema na DP World ni Mwambukusi tuu😂 😂 😂 😂
Sema yote lakini usipingane na ukweli aliouandika VUTA-NKUVUTE. Inaweza isiwe kwa uwazi unaoutaka wewe, lakini uhalisia ndo upo hivyo. Hiv unajuwa matamko mangapi yametoka kuhusu suala la bandari na DPW? La TEC ndo limeonekana kushika hatamu..!! Yaani kila mtu aliibuka toka alikuwa..!! Hiyo pekee inatosha kukuambia kuwa TEC wapo very powerful.
HahahaaaLazima niseme. Nguvu kubwa inafanywa na viongozi wetu wa CCM Taifa ambao pia ni viongozi serikalini kupata 'uungwaji mkono' na Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kuanzia Mwenyekiti/Rais hadi viongozi wengine waandamizi wamekuwa 'busy' na kutafuta kukubalika na wakatoliki.
Pamoja na ukweli kuwa ili ushindi upatikane na utulivu wa kiuongozi utamalaki lazima ukubalike na TEC, sasa imekuwa 'too much'. Makada wabobezi na waandamizi (hasa tulio wakatoliki) tunatumwa bila kusemwa kwa Kardinali, Maaskofu, Mapadre na wengineo ili kusaka kukubalika kwa viongozi wetu.
Amini nawaambia viongozi wangu wa kichama na kiserikali, TEC hawatashawishika kirahisi.
Hawatasahaulishwa msimamo na Tamko lao juu ya mkataba tata wa DP World. Hawatalaghaiwa kwa ahadi za kifedha; kupokelewa uwanjani au kupewa kanzu. TEC bado wanalo la bandari na wamejipanga kuusimamia msimamo wao.
Ili CCM tujisafishe mbele ya TEC, Tamko lao liheshimiwe. Kupigana vikumbo kujisogeza kwao hakutasaidia chochote. TEC imesheheni waelewa wa mambo zaidi ya wanasiasa wa zamani na wa sasa. Si wepesi kuyumbishwa kwa ahadi zisizo na kadi; michngo ya michongo na zawadi maridadi.
CCM tumeshaanza kampeni, wenzetu vipi?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Issue ya bandari wananchi woote waliipinga ispokuwa nyie viongozi wachache wa ccm n serikali mnainufaika nayoNdio maana nimeungana na mtoa mada na Mimi hii tabia inanikera,kwani lazima watu wafabane maoni? Kwamba Waumini wa RC ni wapuuzi kiasi kwamba Kila wanachoambiwa na TEC lazima.wafuate?
Acha TEC wawe na msimamo wao na Serikali iwe na msimamo wao,kujipendekeza kwao ni wanatukosea sana ,itakuja kuleta shida baadae
Hakuna Cha watuIssue ya bandari wananchi woote waliipinga ispokuwa nyie viongozi wachache wa ccm n serikali mnainufaika nayo
Ndio maana tamko la Tec liliungwa mkono na makundi yoote.
Hii mada inazidi uwezo wako, subiri uchangie zile zenu machawaHata Mimi naunga mkono,kwani lazima Kila kitu hao TEC waunge mkono? Ni upuuzi kutokubalia kukubaliana na itakuwa Haina maana Sasa ya kuwa na Taifa.
Maendeleo huletwa katikati ya mgongano wa fikra,TEC na RC hawaendeshi hii Nchi ni mambo ya kipuuzi kuwaza hivyo na inajenga mbegu ya chuki kw watu wa madhehebu na dini zingine.
Inakera sana.
Kiongozi,Isimamie na Wala hakuna mtu amekataza wao kusimamia na nakereka na kujipendekeza Kwa viongozi wa Serikali.
Serikali nayo inatakiwa kusimamia na inachokiamini,hii Nchi haiongizwi na TEC
Kwanza mikaa yote viongozi Wakiwa Waislamu hao TEC Huwa wanaosumbua hivyo hivyo ila akiwa mtu wa dhehebu lao pamoja na madudu wanakausha.Kiongozi,
Nchi hii haiongozwi na Rais peke yake ,ndio maana unaona utulivu. Hao TEC unaodhani hawaiongozi nchi Leo hii wakijitokeza wakasema hatuna imani na Serikali iliyoko madarakani unadhani Rais atakalia kiti Kwa utulivu??