Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Siwafananishi ndo hao haoMkuu unawafananisha ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwafananishi ndo hao haoMkuu unawafananisha ama?
Hujielewi wewe unadhani TEC ni bakwataHata Mimi naunga mkono,kwani lazima Kila kitu hao TEC waunge mkono? Ni upuuzi kutokubalia kukubaliana na itakuwa Haina maana Sasa ya kuwa na Taifa.
Maendeleo huletwa katikati ya mgongano wa fikra,TEC na RC hawaendeshi hii Nchi ni mambo ya kipuuzi kuwaza hivyo na inajenga mbegu ya chuki kw watu wa madhehebu na dini zingine.
Inakera sana.
Nyie mloowa hamjawazidi chochote 😕Wasiipangie serikali namna ya kufanya kuhusu mkataba na DP World na kuhusu kuoa waoe ili kupunguza kashfa za ulawiti huko makanisani kwao.
Hewezi kutunza kitu cha wizi na ukabaki msafi......mambo mengine tuache tu.Ficha ujinga wako,Kanisa Katoliki lilipokea fedha au baadhi ya Maaskofu ndiyo walipewa fedha na Rugemalira? Kwaiyo wewe rafiki yako Jambazi akipata pesa akakupa wewe mshikaji wake,hiyo pesa inakuwa ya kwako wewe binafsi au inakuwa ya familia yenu?
Hao TEC ndiyo waliomtoa Mwalimu Nyerere Mwitongo,wakampeleka shule na baadaye kumuingiza kwenye siasa za ukombozi.
Fear Vatican Mjomba,those people are ruling the world not only Tanzania!!
Unajidanganya wewe.Wewe ndo muakilishi wa hao TEC au unesemea hisia zako? Kuna mtu ambaye anaweza kugomea CCm hapa Tz kweli, wewe utakua hujui siasa za CCM, TEC inahitaji sana CCM kiliko CCM inavo hitaji TEC, au umesahau pesa za kifisad za Escrow zilipitia Mkombozi benk ambayo ni Benki ya kanisa na Kanisa elipokea fungu, wataka uchunguzi wa hiyo kesi ufufuliwe uone kama mkombozi bank itakuepo tena............acha kushezea state hususani ukiwa Africa.
Nionyeshe askofu aliyemfuata mama yenu Ikulu. Unaongea kama umekatwa kichwa? Wakae pembeni RC iendeshe Mambo yake uone.Wewe ndo muakilishi wa hao TEC au unesemea hisia zako? Kuna mtu ambaye anaweza kugomea CCm hapa Tz kweli, wewe utakua hujui siasa za CCM, TEC inahitaji sana CCM kiliko CCM inavo hitaji TEC, au umesahau pesa za kifisad za Escrow zilipitia Mkombozi benk ambayo ni Benki ya kanisa na Kanisa elipokea fungu, wataka uchunguzi wa hiyo kesi ufufuliwe uone kama mkombozi bank itakuepo tena............acha kushezea state hususani ukiwa Africa.
Sijui bakwata wanajiskiaje kudharauliwa hivi.Ndio maana nawaambia huko tuendako mtakuja kuelewa tuu Wacha huu utaratibu iendelee.Hujielewi wewe unadhani TEC ni bakwata
Kuna Msukuma wa kumsikiliza Mzinza? Biteko ni Msukuma toka ukoo upi? Nini maana ya Biteko Kwa Kisukuma?Kanisa la mitume [emoji23][emoji23][emoji23] CCM ni tatizo lingine, wasukuma saivi kimyaaa baada ya kahadaiwa na yule vice PM, TEC ni suala la muda kuunga mkono juhudi za chama cha mapinduzi
Mmh!!!!! kuna tatizo kubwa nchini serikali ikimbilie kuomba msamaha kikundi cha watu wachache wasio fika hata serufi moja ya idadi ya watu, kweliNionyeshe askofu aliyemfuata mama yenu Ikulu. Unaongea kama umekatwa kichwa? Wakae pembeni RC iendeshe Mambo yake uone.
Mlitumwa kuwatukana na yule Fisadi wa Msoga akiwa Musoma akawazodoa eti wanachanganya dini na siasa!! Mwambieni aseme tena mbona mmekimbilia Kwa Lukuvi awaombee Kwa Maaskofu?
Mzee tupatupa,kwani hukuwahi sikia TupaTupa wa ule msitu maarufu na fukwe maarufu🏃🏃Lazima niseme. Nguvu kubwa inafanywa na viongozi wetu wa CCM Taifa ambao pia ni viongozi serikalini kupata 'uungwaji mkono' na Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kuanzia Mwenyekiti/Rais hadi viongozi wengine waandamizi wamekuwa 'busy' na kutafuta kukubalika na wakatoliki.
Pamoja na ukweli kuwa ili ushindi upatikane na utulivu wa kiuongozi utamalaki lazima ukubalike na TEC, sasa imekuwa 'too much'. Makada wabobezi na waandamizi (hasa tulio wakatoliki) tunatumwa bila kusemwa kwa Kardinali, Maaskofu, Mapadre na wengineo ili kusaka kukubalika kwa viongozi wetu.
Amini nawaambia viongozi wangu wa kichama na kiserikali, TEC hawatashawishika kirahisi.
Hawatasahaulishwa msimamo na Tamko lao juu ya mkataba tata wa DP World. Hawatalaghaiwa kwa ahadi za kifedha; kupokelewa uwanjani au kupewa kanzu. TEC bado wanalo la bandari na wamejipanga kuusimamia msimamo wao.
Ili CCM tujisafishe mbele ya TEC, Tamko lao liheshimiwe. Kupigana vikumbo kujisogeza kwao hakutasaidia chochote. TEC imesheheni waelewa wa mambo zaidi ya wanasiasa wa zamani na wa sasa. Si wepesi kuyumbishwa kwa ahadi zisizo na kadi; michngo ya michongo na zawadi maridadi.
CCM tumeshaanza kampeni, wenzetu vipi?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Imeuma eeh mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.Sijui bakwata wanajiskiaje kudharauliwa hivi.Ndio maana nawaambia huko tuendako mtakuja kuelewa tuu Wacha huu utaratibu iendelee.
Au siyo?Imeuma eeh mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Ttec ni kikundi cha masShogaLazima niseme. Nguvu kubwa inafanywa na viongozi wetu wa CCM Taifa ambao pia ni viongozi serikalini kupata 'uungwaji mkono' na Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kuanzia Mwenyekiti/Rais hadi viongozi wengine waandamizi wamekuwa 'busy' na kutafuta kukubalika na wakatoliki.
Pamoja na ukweli kuwa ili ushindi upatikane na utulivu wa kiuongozi utamalaki lazima ukubalike na TEC, sasa imekuwa 'too much'. Makada wabobezi na waandamizi (hasa tulio wakatoliki) tunatumwa bila kusemwa kwa Kardinali, Maaskofu, Mapadre na wengineo ili kusaka kukubalika kwa viongozi wetu.
Amini nawaambia viongozi wangu wa kichama na kiserikali, TEC hawatashawishika kirahisi.
Hawatasahaulishwa msimamo na Tamko lao juu ya mkataba tata wa DP World. Hawatalaghaiwa kwa ahadi za kifedha; kupokelewa uwanjani au kupewa kanzu. TEC bado wanalo la bandari na wamejipanga kuusimamia msimamo wao.
Ili CCM tujisafishe mbele ya TEC, Tamko lao liheshimiwe. Kupigana vikumbo kujisogeza kwao hakutasaidia chochote. TEC imesheheni waelewa wa mambo zaidi ya wanasiasa wa zamani na wa sasa. Si wepesi kuyumbishwa kwa ahadi zisizo na kadi; michngo ya michongo na zawadi maridadi.
CCM tumeshaanza kampeni, wenzetu vipi?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Hiyo kanzu iko consecrated, au imetunguliwa tu hapo mwananyamala....🤣🤣🤣eti unampa kardinal zawadi ya kanzu aka Joho🤔
Toka lini katolic walishindwa kuwavesha mapadre na makadinali wao?
Weka picha ya mtu mmoja akipewa Joho la Uaskofu. Yaani nilishangaa Sana maana Yale mavazi Yana sheria na taratibu zake. Niliona picha ikisambaa kwenye simu ya jirani yangu.Lazima niseme. Nguvu kubwa inafanywa na viongozi wetu wa CCM Taifa ambao pia ni viongozi serikalini kupata 'uungwaji mkono' na Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kuanzia Mwenyekiti/Rais hadi viongozi wengine waandamizi wamekuwa 'busy' na kutafuta kukubalika na wakatoliki.
Pamoja na ukweli kuwa ili ushindi upatikane na utulivu wa kiuongozi utamalaki lazima ukubalike na TEC, sasa imekuwa 'too much'. Makada wabobezi na waandamizi (hasa tulio wakatoliki) tunatumwa bila kusemwa kwa Kardinali, Maaskofu, Mapadre na wengineo ili kusaka kukubalika kwa viongozi wetu.
Amini nawaambia viongozi wangu wa kichama na kiserikali, TEC hawatashawishika kirahisi.
Hawatasahaulishwa msimamo na Tamko lao juu ya mkataba tata wa DP World. Hawatalaghaiwa kwa ahadi za kifedha; kupokelewa uwanjani au kupewa kanzu. TEC bado wanalo la bandari na wamejipanga kuusimamia msimamo wao.
Ili CCM tujisafishe mbele ya TEC, Tamko lao liheshimiwe. Kupigana vikumbo kujisogeza kwao hakutasaidia chochote. TEC imesheheni waelewa wa mambo zaidi ya wanasiasa wa zamani na wa sasa. Si wepesi kuyumbishwa kwa ahadi zisizo na kadi; michngo ya michongo na zawadi maridadi.
CCM tumeshaanza kampeni, wenzetu vipi?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Ukweli kuhusu nguvu ya TEC hauna ubishi, lakini kumbuka pia nguvu ya TEC is not unlimited, nguvu ya serikali bado ni kubwa zaidi. Pamoja na yote, pande mbili hizi zinategemeana na mahusiano baina yao ni ya 'win win situation' TEC huangalia zaidi maslahi ya kanisa sio chama wala kiongozi hizo ndio 'politics of the church'!Lazima niseme. Nguvu kubwa inafanywa na viongozi wetu wa CCM Taifa ambao pia ni viongozi serikalini kupata 'uungwaji mkono' na Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kuanzia Mwenyekiti/Rais hadi viongozi wengine waandamizi wamekuwa 'busy' na kutafuta kukubalika na wakatoliki.
Pamoja na ukweli kuwa ili ushindi upatikane na utulivu wa kiuongozi utamalaki lazima ukubalike na TEC, sasa imekuwa 'too much'. Makada wabobezi na waandamizi (hasa tulio wakatoliki) tunatumwa bila kusemwa kwa Kardinali, Maaskofu, Mapadre na wengineo ili kusaka kukubalika kwa viongozi wetu.
Amini nawaambia viongozi wangu wa kichama na kiserikali, TEC hawatashawishika kirahisi.
Hawatasahaulishwa msimamo na Tamko lao juu ya mkataba tata wa DP World. Hawatalaghaiwa kwa ahadi za kifedha; kupokelewa uwanjani au kupewa kanzu. TEC bado wanalo la bandari na wamejipanga kuusimamia msimamo wao.
Ili CCM tujisafishe mbele ya TEC, Tamko lao liheshimiwe. Kupigana vikumbo kujisogeza kwao hakutasaidia chochote. TEC imesheheni waelewa wa mambo zaidi ya wanasiasa wa zamani na wa sasa. Si wepesi kuyumbishwa kwa ahadi zisizo na kadi; michngo ya michongo na zawadi maridadi.
CCM tumeshaanza kampeni, wenzetu vipi?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Usiwatizame tec,angalia msingi na nguvu ya hoja.halafu punguza jaziba.Hata Mimi naunga mkono,kwani lazima Kila kitu hao TEC waunge mkono? Ni upuuzi kutokubalia kukubaliana na itakuwa Haina maana Sasa ya kuwa na Taifa.
Maendeleo huletwa katikati ya mgongano wa fikra,TEC na RC hawaendeshi hii Nchi ni mambo ya kipuuzi kuwaza hivyo na inajenga mbegu ya chuki kw watu wa madhehebu na dini zingine.
Inakera sana.
Aya yako ya mwisho umeandika kisomi sana (kama waraka wenyewe wa TEC)Utakereheka kwa sababu ya ujinga.
TEC kama taasisi ina haki kusimama katika inachokiamini. Na wewe kama mtu binafsi au taasisi yako mna haki kuendelea kusimama katika mnachokiamini. Wafanya maamuzi watapima uzito wa hoja za kila upande na athari ya kuzipuuza au kuzifuata. Lakini pia sisi wananchi tuna haki ya kupima uzito wa hoja za kila upande, ukiwemo upande wa Serikali.
Mwisho wa yote, wananchi ndio waamuzi wa mwisho. Yule ambaye hoja zake zinaungwa mkono na wengi na zipo kwaajili ya maslahi ya umma, ndiye atakuwa na turufu.
Serikali ikishupaza, TEC ina haki ya kuwaambia waumini wake na hata wasiowaumini wa RC, kuwa kwa mtazamo wetu kama viongozi wenu, ni dhahiri Serikali hii haipo kwa manufaa yenu na vizazi vijavyo kwa sababu inapora rasilimali za nchi na kuwagawia moja kwa moja wageni. Atakayeiunga mkono atambue kuwa ameshindwa kutimiza wajibu wake wa msingi kama muumini, ambao ni kumpenda jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe. Na jirani zetu ni hawa Watanzania wanaoishi leo na wale watakaofuatia baada yetu. Waumini na wengineo watafanya maamuzi yao maana katika kuufuata ujumbe wa Mungu, hakuna anayelazimishwa.
Duh!Isimamie na Wala hakuna mtu amekataza wao kusimamia na nakereka na kujipendekeza Kwa viongozi wa Serikali.
Serikali nayo inatakiwa kusimamia na inachokiamini,hii Nchi haiongizwi na TEC